Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona umerudisha Kofi 😆 kibeberu vs kisamakiMtindi pia,unasaidia wanaume kuondokewa na jasho la kwapa na kunuka kibeberu beberu
Dah hii nchi ngumu sana😂Mabinti wengi wanatema kisamaki yaan sebleni hakuna mtu Ila ukikatisha tu unagundua hapa kuna mtu mwenye kisamaki alikua amekaa ukipita kwenye korda unasikia kisamaki unajua tu hapa mwenye kisamaki kapita
Kisamaki..!
Muulize mleta mada hayo maswali...Ushawahi kuinusa ukaiona inanuka ilikuaje ukaifikia ukainusa?
🤣🤣🤣🤣🤭Nakuona umerudisha Kofi 😆 kibeberu vs kisamaki
Tunajuana?Hapo wewe inabidi uchange standard
😂😂 bado kuna watu wanakataaAmini nakwambia utakuta sasa hivi wanapambana kunywa huo mtindi kutokana na hali zao kuwa mbaya😂😂😂😂
Kuna mdada mrembo nilikuwa na muheshimu sana, siku nimekaa kwenye benchi akawa kasimama mbele yangu niko usawa wa kiuono chake,
amini nawaambia nilisikia harufu ya pussy, hapo imefunikwa na ni asubuhi 😳
Kisamaki mtihaniMuulize mleta mada hayo maswali...
Atakalo kujibu na mimi jibu langu ni hilo hilo..
Si ndiyo...Mtindi pia,unasaidia wanaume kuondokewa na jasho la kwapa na kunuka kibeberu beberu
Thanyuuuu kwa kukuona leoSenkyuu senkyuu Dr. Mwalichuwi
We nae😂, niache banaWe Mtoto!!!
Hapanaaaaaaa mm nimeongea kwa mwenye shida iyo wachukue ili😅😅😅 kwaiyo nawe tuseme ndio unawaambia wana visato eeh
Michuuu toto zursawa daktare
Nimesema pia kwa wanaume piaHalafu hebu muulize mleta mada...
Why Wanawake ndiyo wanywe..Wanaume haiwahusu...
Maana kuna Wanaume nao huwa wananuka jamani[emoji17]Jasho si jasho....Boksa siyo Boksa...Harufu haileweki...
Na wenyewe wanapaswa kutumia nini.
He he😂 leo mpk wewe umefungukaSi ndiyo...
Ukiwaambia wanaleta makasiriko....
Unakuta unapishana na mtu au kuongea na mtu anatoa harufu ya ajabu....hujui ni mdomo au kitu gani?
😅😅😅.. mlio soma cuba nawaelewa hamna mbambaHapanaaaaaaa mm nimeongea kwa mwenye shida iyo wachukue ili
Shida vyakula wanavyokulaTuko na jamaa angu tukahudhuria party ya HBD ya mdada fulani. Jamaa angu akampenda mdada mmoja huko kasaundisha kapewa namba na situation ipo Greenlight.
Party imeisha, keaho asubuhi yule pisi kamtafuta jamaa angu anamwambia yuko hoi sana amsaidie kama atakua na kiaisi aende kupima.
Jamaa akamdirect kwangu, akamwelwkeza nilipo aje apate huduma atalipia jioni. Fresh nikamwambia aje. Yule pisi alikua ana super duper UTI. Mimi sikua na ajizi Azithromycin kama zote zikamuhusu na madonge mengine mengi.
Jamaa alikuja akalipia analalama kinoma eti pisi yenyewe mbovu jana aliiona na wenge la mataa yale ya bar. Akafuta na namba zake.
Hawa mabinti 16-25yrs wanasumbuliwa sana na hili gonjwa serekali ianzishe mpango mkakati kupambana nalo🚶🚶🚶
Wanaume wengi ni wavivu kuoga ivo pumb zinakuwa zimevundaSi ndiyo...
Ukiwaambia wanaleta makasiriko....
Unakuta unapishana na mtu au kuongea na mtu anatoa harufu ya ajabu....hujui ni mdomo au kitu gani?