Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
hahaa,,hebu tupe uzoefu wako hapa mkubwa.
Mwanamke mwenye ndevu ni mtamu kuliko asiye nazo simply coz whenever u look straight at her what u see is just bright future...Ndevu ni catalyst tu, ni kama kachumbari/chachandu!
Tatizo la wanawake kuwa na ndevu linazidi kukua kwa kasi, ni nini hasa chanzo chake?kama ni kutokuwiana(balance) kwa vichocheo(hormones) ama mwanamke kuwa na hormones za kiume nyingi kuliko za kike, nini chanzo chake hasa kwa kizazi hiki tofauti na vizazi vilivyotangulia maana sasa hivi si ajabu kumkuta mwanamke katapakaa ndevu na wengine hadi mustachi?.
uzuri wake upo kwenye sex au mzuri kuishi naye kama mke?,tujuze mkuu
Wanawake wengi walio na ndevu ni wanywaji wakubwa sana wa PENIS JUICE.Jamani SHAHAWA cyo maji ya kunywa hayo acheni akina dada.Matokeo ya kumeza shahawa za wanaume ndo moja wapo ni kuoteana mindevu isiyokuwa na mbele wala nyuma.
Suala zima la uzuri ni subjective! Kila mtu ana namna anavyodefine uzuri....take it as a complement wee tusua tu!
Mwanamke mwenye ndevu ni mtamu kuliko asiye nazo simply coz whenever u look straight at her what u see is just bright future...Ndevu ni catalyst tu, ni kama kachumbari/chachandu!
duh biology yako ni noumer utamu unaudefine vp mkuu ,
ndevu ziko kidevuni northen zone afu nanhii central zone asa huo utamu unahusiana vp bana ,
unawaingiza chaka , tango pori laivu
KALAGABAHO
Huwa unashave mwenyewe au unaenda saloon? Kuna imani kwamba Wanawake wenye ndevu wana bahati sana kwenye maisha, je na wewe unaona hivyo katika maisha yao?
sijamaanisha uzuri wa maumbile hapa kaka,nimemaanisha uzuri wa yeye kuwa mke au uzri wa yeye kwenye bed kama alivyoainisha mchangiaji alietangulia kwamba hawa wenye ndevu ni wazuri coz when u look at them u see a bright future.
Hiyo ndiyo nini? humu hatutaki wanawake wenye aibu mwisho utashindwa hata kuvua mpaka nifumbe macho....na wakati mshedede ukiingia utafumba macho wewe usilione.....duh biology yako ni noumer utamu unaudefine vp mkuu ,
ndevu ziko kidevuni northen zone afu nanhii central zone asa huo utamu unahusiana vp bana ,
unawaingiza chaka , tango pori laivu
KALAGABAHO
Kumbe na wewe ni mdau wa hao wachuchu? aiseeee ni watamu sanaa...Sema wanakuwaga watamu sana hao
Nafikiri wanawake kutoka jiji la Mbeya wanaongoza...
Kuna mmoja juzi kati nilimuona maeneo ya mkoani pale akiwa na "O" kabisa.....
Kama imewezekana Mpare kuangalia picha ya samaki na kula ugali bila mboga itashindikana vipi kuangalia uoto wa asili nothern zone wakati mashambulizi yakiwa ukanda wa kusini? Kuna wengine kuutia kasi hadi wavute picha za shemeji zao na wengine wakiangalie mustachi wa kike ndo anabadili gea
Kumbe na wewe ni mdau wa hao wachuchu? aiseeee ni watamu sanaa...