Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

hahaa,,hebu tupe uzoefu wako hapa mkubwa.

Mwanamke mwenye ndevu ni mtamu kuliko asiye nazo simply coz whenever u look straight at her what u see is just bright future...Ndevu ni catalyst tu, ni kama kachumbari/chachandu!
 
Mwanamke mwenye ndevu ni mtamu kuliko asiye nazo simply coz whenever u look straight at her what u see is just bright future...Ndevu ni catalyst tu, ni kama kachumbari/chachandu!

uzuri wake upo kwenye sex au mzuri kuishi naye kama mke?,tujuze mkuu
 
Tatizo la wanawake kuwa na ndevu linazidi kukua kwa kasi, ni nini hasa chanzo chake?kama ni kutokuwiana(balance) kwa vichocheo(hormones) ama mwanamke kuwa na hormones za kiume nyingi kuliko za kike, nini chanzo chake hasa kwa kizazi hiki tofauti na vizazi vilivyotangulia maana sasa hivi si ajabu kumkuta mwanamke katapakaa ndevu na wengine hadi mustachi?.

bilogically inawezekana testoterone hormone ambayo ni kwa wanaume kuwa nyingi hivyo kusababisha features za kiume kama ndevu kuwepo kwa wanawake
 
Wanawake wengi walio na ndevu ni wanywaji wakubwa sana wa PENIS JUICE.Jamani SHAHAWA cyo maji ya kunywa hayo acheni akina dada.Matokeo ya kumeza shahawa za wanaume ndo moja wapo ni kuoteana mindevu isiyokuwa na mbele wala nyuma.

its Leyman way of thinking buhahaha can you prove it biologically
 
Nafikiri wanawake kutoka jiji la Mbeya wanaongoza...
Kuna mmoja juzi kati nilimuona maeneo ya mkoani pale akiwa na "O" kabisa.....
 
Suala zima la uzuri ni subjective! Kila mtu ana namna anavyodefine uzuri....take it as a complement wee tusua tu!

sijamaanisha uzuri wa maumbile hapa kaka,nimemaanisha uzuri wa yeye kuwa mke au uzri wa yeye kwenye bed kama alivyoainisha mchangiaji alietangulia kwamba hawa wenye ndevu ni wazuri coz when u look at them u see a bright future.
 
Hao wanawake ni watamu sana, usipime....ila tu yataka moyo uanzaji wake unaweza kuhofia ni mwanaume mwenzako
 
Mwanamke mwenye ndevu ni mtamu kuliko asiye nazo simply coz whenever u look straight at her what u see is just bright future...Ndevu ni catalyst tu, ni kama kachumbari/chachandu!

duh biology yako ni noumer utamu unaudefine vp mkuu ,
ndevu ziko kidevuni northen zone afu nanhii central zone asa huo utamu unahusiana vp bana ,
unawaingiza chaka , tango pori laivu

KALAGABAHO
 
duh biology yako ni noumer utamu unaudefine vp mkuu ,
ndevu ziko kidevuni northen zone afu nanhii central zone asa huo utamu unahusiana vp bana ,
unawaingiza chaka , tango pori laivu

KALAGABAHO

Kama imewezekana Mpare kuangalia picha ya samaki na kula ugali bila mboga itashindikana vipi kuangalia uoto wa asili nothern zone wakati mashambulizi yakiwa ukanda wa kusini? Kuna wengine kuutia kasi hadi wavute picha za shemeji zao na wengine wakiangalie mustachi wa kike ndo anabadili gea
 
Huwa unashave mwenyewe au unaenda saloon? Kuna imani kwamba Wanawake wenye ndevu wana bahati sana kwenye maisha, je na wewe unaona hivyo katika maisha yao?

Atajuaje wakati hata mtu mwenye ndevu hajawahi kukaa nae karibu zaidi ya kuona wanapita tu kwa mbali....
 
Aiseee wewe unautani sana,hiv unadhani hizo ndevu imekaa kama pambo tu?

Kama ndevu hata mbuzi anazo,ila za wanawake zinasababu lol
 
sijamaanisha uzuri wa maumbile hapa kaka,nimemaanisha uzuri wa yeye kuwa mke au uzri wa yeye kwenye bed kama alivyoainisha mchangiaji alietangulia kwamba hawa wenye ndevu ni wazuri coz when u look at them u see a bright future.

uwiiii nawaonea wivu...sijui nibandike,ila nasikiaga hilo wanafanikiwa sana, Hivi ni zinakuwa za urithi au zinatokea tu kwa mtu?
 
duh biology yako ni noumer utamu unaudefine vp mkuu ,
ndevu ziko kidevuni northen zone afu nanhii central zone asa huo utamu unahusiana vp bana ,
unawaingiza chaka , tango pori laivu

KALAGABAHO
Hiyo ndiyo nini? humu hatutaki wanawake wenye aibu mwisho utashindwa hata kuvua mpaka nifumbe macho....na wakati mshedede ukiingia utafumba macho wewe usilione.....
 
Kama imewezekana Mpare kuangalia picha ya samaki na kula ugali bila mboga itashindikana vipi kuangalia uoto wa asili nothern zone wakati mashambulizi yakiwa ukanda wa kusini? Kuna wengine kuutia kasi hadi wavute picha za shemeji zao na wengine wakiangalie mustachi wa kike ndo anabadili gea

mwee mbavu zangu mie hahaha
ati anabadilisha gear hahaha so funny
 
Kumbe na wewe ni mdau wa hao wachuchu? aiseeee ni watamu sanaa...

bwahahaha ati watamu bwahaha utamu unatokana na outside features za mtu au ni mautundu yenu wenye hahah unawaingiza watu chaka bana tena chaka bovu bwahahaha buhahaha duh
 
Back
Top Bottom