wa siku hizi hawana hata utajiri basi tu nahisi na hii mikorogo,
Chopeko umenikumbusha kitu jana asubuhi wakati naelekea kwa nyumba ya ibada nimekutana na mwanamke mwenzangu katika daladala anandevu km dume kidevu chote, na mbaya zaidi zile ndevu zinaonyesha huwa hazinyolewi
Hamna cha utajiri wala nini
mie ant yangu ni ana hizo ndefu na shida ndo anazo kila siku......
ni zile belief tu kuwa mvua ikunyesha jua Linawaka basi Simba anazaa
Sijui kwanii huwa hawazinyoi,ila nafikiri pengine wanaogopa wakizinyoa zitaota zaidi!!!!!!!!!
Labda mda wake haujafika mkuu wa ku shine!!!1
yuko kwenye 50's huko useme mda haujafika.....
angukuwa kwenye 20s ningekubali mda kuwa haujafika
Kuna ndevu za mkorogo
sijui hizo nazo zina pesa?
Dh kama ndo hivyo basi ramani ishalowa siku mingi!!!!!
Wanawake wenye ndevu ni wasagaji
Kuna ndevu za mkorogo
sijui hizo nazo zina pesa?