Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Wanawake kuota Ndevu na Vipara: Chanzo, tahadhari na tiba yake

Hii husababishwa na wingi wa male hormone yaani androgen. Na hii huweza sababishwa na sababu nyingi mafano cyst kwenye ovary we call polycystic ovarian syndrome hii ni very common cause. Kwa hiyo si kujitakia ila ni ugongwa. Kwa jina la kitaalamu tunaita virilization.
Causes of virilization ni
1. High production of testosterone hormone
2. Use of anabolic steroids eg mikorogo, diprosone
3. In children due to use medications during pregnant
4. Ovarian tumor or cyst etc
 
Inaweza kuwa sababu ya homonies, lakini pia nimewahi kusoma sehemu kuwa kuna wanawake wakitumia Vidonge ama Sindano za Uzazi wa Mpango pia hufanya watokwe na Ndevu.
 
Hamna cha utajiri wala nini
mie ant yangu ni ana hizo ndefu na shida ndo anazo kila siku......

ni zile belief tu kuwa mvua ikunyesha jua Linawaka basi Simba anazaa

Mkuu umenichekeshaje hii ya "mvua na jua" simba anazaa....LOL!! Sijui kwa watu wengine ila kwa upande wangu mimi ndevu za wanawake zinanichefua sana. Ninaimani siwezi kum-duu mwanamke mwenye ndevu. Nikimuona tu network inakatika.. I rilee don noo..!!
 
watamu sana kwenye kugegeda

Teh! teh! teh...!
Kwi! kwi! kwi...!
Dah! Wewe jogoo, jogoo la shamba or beberu! Sio nakutusi! Nakuona jasiri....!
Ata mi siwez! M/ke anamidevu, then hanyoi. Lol! Majeshi hawapandiiiiiii.....!
 
Inaweza kuwa sababu ya homonies, lakini pia nimewahi kusoma sehemu kuwa kuna wanawake wakitumia Vidonge ama Sindano za Uzazi wa Mpango pia hufanya watokwe na Ndevu.
hili nalo very possible!!!!!!
 
Zamani ilikuwa ni aghalab sana tunu mwanamke kuwa na ndevu au vijidevu, siku hizi mikorogo inawaharibu watoto zetu jamani, wanaota ndevu baada ya kuchezea maumbile yao ya asili. Mungu hakosolewi.
 
Back
Top Bottom