Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Sijawahi kujua kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi, wanaume weupe tuna nini?

Naomba kujuzwa nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna.
Wanajiona wamepata BLACK AFRIKA! Kitu asili ya. Nyumbani.
 
Sijawahi kujua kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi, wanaume weupe tuna nini?

Naomba kujuzwa nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna.
[emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji2] [emoji3]
 
Ukiingia deep wengi wanapenda wanaume weupe ili watoe offspring coloured za kuuzia sura coz hakuna mwanamke anapenda mtoto ake awe giza. Kusema wanapenda black ni kuzuga na kuogopa competition na pia kutaka kuhakikishiwa security ya penzi
 
Hata hujakosea ni kweli wanaumwe weupe hampendwi sana na wanawake kama wanavyopendwa wanaume weusi. Binafsi siwapendi ila naomba nisiseme kwa nini siwapendi
Hahaaaaaa mimi ngoja nimpe sifa moja yaani mimi binafsi ni bronze sasa nikiwa na mwanaume mweupe najiona mweusiiii tiii alafu mchafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaaaa mimi ngoja nimpe sifa moja yaani mimi binafsi ni bronze sasa nikiwa na mwanaume mweupe najiona mweusiiii tiii alafu mchafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
khaaaaaaa,,,,!!! jaman [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, uwiiiiiiiii
 
Ukiingia deep wengi wanapenda wanaume weupe ili watoe offspring coloured za kuuzia sura coz hakuna mwanamke anapenda mtoto ake awe giza. Kusema wanapenda black ni kuzuga na kuogopa competition na pia kutaka kuhakikishiwa security ya penzi

Swadakta mazee!! Hiki ulichokiandika ndio ukweli mtupu.

Wanawake wengi kama sio wote wanapenda watoto wenye fair complexion! Na ndio maana utamkuta mwanamke katoto kake kadri kanavyozidi kukua na kubadilika rangi anasikitika utaskia anasema "kanazidi kuwa keusi tu jamani"

wanawake wanapenda kuzaa na wanaume weupe na hao hao weupe ndio huwa wanategeshewa mimba.

Wanajishauwa tu hapa!
 
Leo katika pitapita zangu nimekutana na wakaka watanashati watatu,mmoja mweupe,mwingine maji ya kunde na kuna huyu black handsome yani kaka mweusi ana weusi ule wa kung'aa amepanda hewani kifua kimetanuka kiaina daah nimejikuta nimedata nilikua na rafiki zangu wanne nikajua kanivutia mimi tu kumbe nao wamevutiwa na mweusi..wengine wale nao wamepanda hewani vifua vipo pia but mweusi ndo top yani tukaanza kupiga kura zote zikaenda kwa black handsome!
 
Alikuwa mchagga! Sema bado unamzimikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…