Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Ntakufundisha tena tunachanganya na makamilwa matamu hayo!Heheheee
Sijui kuandaa mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakufundisha tena tunachanganya na makamilwa matamu hayo!Heheheee
Sijui kuandaa mie
Wanajiona wamepata BLACK AFRIKA! Kitu asili ya. Nyumbani.Sijawahi kujua kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi, wanaume weupe tuna nini?
Naomba kujuzwa nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna.
[emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji2] [emoji3]Sijawahi kujua kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi, wanaume weupe tuna nini?
Naomba kujuzwa nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna.
Hahaaaaaa mimi ngoja nimpe sifa moja yaani mimi binafsi ni bronze sasa nikiwa na mwanaume mweupe najiona mweusiiii tiii alafu mchafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata hujakosea ni kweli wanaumwe weupe hampendwi sana na wanawake kama wanavyopendwa wanaume weusi. Binafsi siwapendi ila naomba nisiseme kwa nini siwapendi
Hahahahaaa joana watake radhi wanaume weupe[emoji23]Mna vibamia
Manigga wengi wanaume mashine
khaaaaaaa,,,,!!! jaman [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, uwiiiiiiiiiHahaaaaaa mimi ngoja nimpe sifa moja yaani mimi binafsi ni bronze sasa nikiwa na mwanaume mweupe najiona mweusiiii tiii alafu mchafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiingia deep wengi wanapenda wanaume weupe ili watoe offspring coloured za kuuzia sura coz hakuna mwanamke anapenda mtoto ake awe giza. Kusema wanapenda black ni kuzuga na kuogopa competition na pia kutaka kuhakikishiwa security ya penzi
Yaani naona wanaume wengi weupe kama yoriyori hivi hata kuua mende hawawezi,.
Acha ije tuu[emoji12]wewe utasababisha vita ya majimaji ianze upya
Alikuwa mchagga! Sema bado unamzimikia?Leo katika pitapita zangu nimekutana na wakaka watanashati watatu,mmoja mweupe,mwingine maji ya kunde na kuna huyu black handsome yani kaka mweusi ana weusi ule wa kung'aa amepanda hewani kifua kimetanuka kiaina daah nimejikuta nimedata nilikua na rafiki zangu wanne nikajua kanivutia mimi tu kumbe nao wamevutiwa na mweusi..wengine wale nao wamepanda hewani vifua vipo pia but mweusi ndo top yani tukaanza kupiga kura zote zikaenda kwa black handsome!