Mm napenda mweupe ugonjwa wangu miyeeeBe Gentleman.
Hayo mengine waachie wanawake wenyewe mzee.
HahahahhhYo'fucking right
Wameifuta mbnKaangalie thread ya DJ sepetu
Nshakupoteza ungekuwa huwapendi hiyo comment yako nahisi wangeswichi ofu na data walahiMm napenda mweupe ugonjwa wangu miyeee
hata mimi sijawahi fikiria kupenda wanaume weupe jaman ila sijui nini shidaSijawahi kujua kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi, wanaume weupe tuna nini?
Naomba kujuzwa nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna.
Pole Sana kwa maswahibu..Mi naona bora weusi
AfadhaliWameifuta mbn
Yes ..Nyodo zao tu,ukishakuwa na mahela ya kutosha huwa hawaangalii rangi.Kuna dada mmoja nilikuwa ninafanya naye kazi alikuwa anachukuliwa ovyo ovyo na wanaume pale na wengi wao walikuwa ni weusi basi aliropokwa siku moja "yaani unajua mimi mwenzenu sijui kwanini sina mzuka kabisa na wanaume weupe,sijawahi kupenda na wala sitawapenda"juzi juzi namuona kapost picha Facebook na mwanaume white wamekumbatiana kaandika my one and only,nikajua kumbe zilikuwa geresha tu..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nshakupoteza ungekuwa huwapendi hiyo comment yako nahisi wangeswichi ofu na data walahi
[emoji106]Afadhali
Ha ha ha ni kweli inadependent na mtu uliy3 nae kama yupo after money sawa.....Hivi bado wadada wanafuata rangi za watu,hayo mambo yatakua mikoani, huku mjini its all about benjamin/mawe/fedha/ pesa/ sisi tunarekebisha bila ata ya kujali rangi ya ngozi, kwanza sijui ata nina rangi gani ya ngozi, haina kazi huku mjini.
hahahahahahahahahahahhNyerere alisema ubaguzi unaanza taratibu.
Mlianza na ufupi
ikaja six pack
mara vitambi
tena vimbao mbao
ikafuatia vibamia
leo rangi,
tusipokua makini tutaanza kuangaliwa viuno. Dereva simama nashukia kibiti.
promo at workMa handsome je? Maana kuna wadada washawah kunambia hawanipendi na hawataki uhusiano sababu mm ni handsome! Nikashindwa kuwaelewa had leo
Mmmmh mbona hao weusi wenyewe kutwa saloon kuscrub walau wapate kamng'ao ka kuvutiaSijawahi kujua kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi, wanaume weupe tuna nini?
Naomba kujuzwa nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna.
hahahahhahhaha nilikuwa natafakari kiLady finger ni nini baadae nikapta jibusio kweli, mimi sina hicho kiLady finger na ni mweupe.