Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Sijawahi kujua kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi, wanaume weupe tuna nini?

Naomba kujuzwa nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna.
hata mimi sijawahi fikiria kupenda wanaume weupe jaman ila sijui nini shida
teh teh
 
Mi naona bora weusi
Pole Sana kwa maswahibu..
Rangi haina uhusiano yoyote na maumbile ya ndani ya suruali za wanaume.[emoji23][emoji23][emoji23].

Tambua hao manigga iko napendaga ile rangi nyeupe kwasababu taka pate watoto weupe. Pendi wale weusi Kama wao tena.
Na pia wanapata ujiko kwa kupata wanawake wazuri.

Na ako nigga ingine nakua mweusi hadi mashuka meupe nachafuka manake hajui oga vizuri.

3d79633e27f5dae83937d6ebfc996756.jpg
 
Nyodo zao tu,ukishakuwa na mahela ya kutosha huwa hawaangalii rangi.Kuna dada mmoja nilikuwa ninafanya naye kazi alikuwa anachukuliwa ovyo ovyo na wanaume pale na wengi wao walikuwa ni weusi basi aliropokwa siku moja "yaani unajua mimi mwenzenu sijui kwanini sina mzuka kabisa na wanaume weupe,sijawahi kupenda na wala sitawapenda"juzi juzi namuona kapost picha Facebook na mwanaume white wamekumbatiana kaandika my one and only,nikajua kumbe zilikuwa geresha tu..
Yes ..
 
Kama unaona wanakutenga kwa weupe wako siku ukimpata mmoja mpe kazi ya hali ya juu mpe kitu cha ukweli fanya makamuzi ya haja yaani usiache hata apumue manina tuone kama hawatakuheshimu pambafu
 
Weupe ni rangi ya urembo......na ndio maana wanawake wengi wanapenda wanaume weusi.....hata mm binafsi mwanaume mweupe hanivutiii hata.weupe rangi ya kike
 
Hivi bado wadada wanafuata rangi za watu,hayo mambo yatakua mikoani, huku mjini its all about benjamin/mawe/fedha/ pesa/ sisi tunarekebisha bila ata ya kujali rangi ya ngozi, kwanza sijui ata nina rangi gani ya ngozi, haina kazi huku mjini.
Ha ha ha ni kweli inadependent na mtu uliy3 nae kama yupo after money sawa.....
 
Nyerere alisema ubaguzi unaanza taratibu.
Mlianza na ufupi
ikaja six pack
mara vitambi
tena vimbao mbao
ikafuatia vibamia
leo rangi,
tusipokua makini tutaanza kuangaliwa viuno. Dereva simama nashukia kibiti.
hahahahahahahahahahahh
 
Huo nimtazamo wako!.kwasasa hivi watu uangalia mfuko kama Unasoma au raha.pole sana mnochunguza rangi.
 
Sijawahi kujua kwanini wadada wengi wanasema wanapenda wanaume weusi, wanaume weupe tuna nini?

Naomba kujuzwa nini wanacho wanaume weusi weupe hatuna.
Mmmmh mbona hao weusi wenyewe kutwa saloon kuscrub walau wapate kamng'ao ka kuvutia
 
Back
Top Bottom