Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

Wanawake kupenda wanaume weusi, wanaume weupe kosa letu nini?

miiiili yenu ya baridi saaana kama vyura + mashauzi kama watoto wa kike, hamna stamina uwanjani, ni mashuzi tuu kujamba ovyo2
unajiita nzoka boy alafu unatoa huo uchambuzi kwani ww ni shoga??
 
Hi I ndio sababu...
Ya KWANINI WANAWAKE WANAPENDA WANAUME WEUSI...

00bd873d3d6e5cd4938c08b75ab3312b.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi unafurahisha kweli huu.

Ukisoma comments za wanawake karibu wote waliochangia kwenye huu Uzi wanasema eti wanaume weupe hawawavutii kabisa, wakati huo ukienda kule LOVE CONNECT karibia kila mdada anaetafuta mume kigezo kimoja kimoja wapo anataka mwanaume awe mweupe.

Hivi wanawake kuna siku mtafahamu mnachokitaka eti?
 
unajua nimecheka tu mwenyewe kuona wanaume wanatafuta kupendwa

nawapa siri, tafuteni hela maana sidhani ukiwa na hela watakumbuka kuangalia kama ni mweupe ama mweusi

BTW mwanaume lazima ujiamini usitafute kupendwa

teh teh
Maana watakuwa wanapenda hella na sio mtu
 
Back
Top Bottom