jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
Maana watakuwa wanapenda hella na sio mtu[/QUOT
sio kweli, mantiki yangu ni kwamba wanaume wanatakiwa kuwaza vitu vyenye tija zaidi ya hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana watakuwa wanapenda hella na sio mtu[/QUOT
sio kweli, mantiki yangu ni kwamba wanaume wanatakiwa kuwaza vitu vyenye tija zaidi ya hili
na nyie mnataka wamoto.Nackiaga wanasema nyie ni wa barid mmepoa
utakuwa mweupe wwSi kweli wanawake wanapenda wanaume weupe sana fanya uchunguzi upya
chukua dubois..bill juu yanguMna vibamia
Manigga wengi wanaume mashine
cio urefu wa wastanii ...xema UFUPII...Pia nisaidie kuwauliza na sisi wenye urefu wastani hawatutaki wanapenda warefu tu kosa letu nini?
Mie najua nitakacho... Na nshakipata tayari!!!Uzi unafurahisha kweli huu.
Ukisoma comments za wanawake karibu wote waliochangia kwenye huu Uzi wanasema eti wanaume weupe hawawavutii kabisa, wakati huo ukienda kule LOVE CONNECT karibia kila mdada anaetafuta mume kigezo kimoja kimoja wapo anataka mwanaume awe mweupe.
Hivi wanawake kuna siku mtafahamu mnachokitaka eti?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume weupe ovyo sana: kwanza wazembe, wavivu, sio kitu cha ajabu katikati ya shughuli akakudondoshea KAMASI eti mafua yamempata ghafla katikati ya tafrija, mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mwanaume weupe
hahaqhahhah, 😀😀😀😀😀JF raha sana kapeace tujichekee tuongeze siku za kuona ya duniani hahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngozi ya kidemu hiyo kwa africa haifui dafu..mbele ya mijitu myeusi kama sisi
Yaani kwa comment za humu ni full kuvunjana mbavu, hata mimi huwa hawanisisimui hawa me weupe sijui ni kwaninihahaqhahhah, 😀😀😀😀😀JF raha sana kapeace tujichekee tuongeze siku za kuona ya duniani hahahah
Yaani alivyomweupe usoni, sasa akivua "mzee yule" ndie anakuwa mweupe zaidi kwa kuwa hapigwi jua, hahahahahhahaahahahYaani kwa comment za humu ni full kuvunjana mbavu, hata mimi huwa hawanisisimui hawa me weupe sijui ni kwanini
Halafu mby uikute imelegeaaaaa hapo ndo utaisoma namba vizuriYaani alivyomweupe usoni, sasa akivua "mzee yule" ndie anakuwa mweupe zaidi kwa kuwa hapigwi jua, hahahahahhahaahahah
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Halafu mby uikute imelegeaaaaa hapo ndo utaisoma namba vizuri
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wanasema wanaume weupe hata madushe yetu yanakuwa meupe na hayavutii. Mimi langu nishalipaka hina hapa sahv limekuwa jeusi tii[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125]