Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

Hebu tufundishe na sisi huo utapeli tupate na sisi hzo dollar twende Ethiopia/Morocco tukasafishe macho
 
Ila Maxence Melo jitahidi uweke kitufe cha kulipia kwasababu nakosa pesa!,Ina maana hii simulizi nitaitoa bure walahi hapa JF 😭!
Unadai ulienda mataifa yote hayo na exposure yote ila bado unalilia buku mbili mbili za michango ya kuhadithia. Sasa exposure yako imekusaidia nini kiuchumi mpaka unadai sisi vijana ni wapumbavu.

Itakuwa sexual tourism ilikukata pesa Mac Muga
 
Kwahiyo ulitaka nisimulie bure wewe na wanawake wenzio mfaidi?
 
Mbna umetembelea mataifa ya walozi wazoefu
 
Mkuu hili si kwako tu nimelisikia!

Inaonekana Venezuela ni hatari!

I wish kabla sijafa nitafika Venezuela nikawaone Masiyorita!
Acha kabisa bro...mie natamani kurudi tena kule sii mchezo....wamebarikiwa kwa uzuri
 
Kwa hiyo starehe zako ulizofanya huko zinatusaidia nini labda.
 
Hahahaajjahaj kumbe Bado huyu kiumbe anakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…