Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

Ooooh my Gosh!

Huko sikuweza kuoa kwasababu nilikwenda kikazi tu,hivyo nikawa nachakata mbususu ili kukidhi haja za moyo!.

Jet aime Donatila
HV mkuu nikiwa na dola elf 1000 naweza kwenda Ethiopian na kurudi na pia kuchakta mbusuza zao
 
Unaweza mkuu,ili uweze kuifaidi ile nchi mkuu andaa fungu walau tenga kama $ 2500
Nilijuwa elf 1000 inatosha niende Hadi tigray huko nasikia ndio Kuna watu wenye akili kubwa mkurugenzi mkuu wa shirika la afya WHO wanatokea uko
 
Bro ni hii hii biashara yako ya bodaboda pale Bunju ndo ilikupeleka kote uko au ule msukule uliokua pale Magomeni unakula kipindi kile ndo ulikubadilisha maisha baadae..
 
Thamani ya wanawake 20 wa bongo ni sawa na binti 1 wa kinyarwanda. Wabongo wazuri wenyewe ndio akina Gigimoney domo kama karai

Mkuu Gigy Money siyo mzuri ila ni maarufu kwa upumbavu,wapumbavu wamempa popularity!
 
Bro ni hii hii biashara yako ya bodaboda pale Bunju ndo ilikupeleka kote uko au ule msukule uliokua pale Magomeni unakula kipindi kile ndo ulikubadilisha maisha baadae..

Mkuu hii ni kabla hata sijaanza kuendesha boda!

Mkuu nina visa kibwena!
 
Umekumbuka kumeza ARV's zako leo?
 
Hujawahi fika somalia, sudan,eritrea,djibouti, mauritania,algeria,egypt
 
Kiongozi morocco ipi uliyoitembelea ambayo ni ngumu kuchakata mbususu kwasababu za kidini...nchi zote za africa ya kaskazini ni liberals...hawana misimamo yoyote ya kidini ni pesa yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…