Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

Nenda katembelee Botswana tuone kwa pisi zile utawaweka namba ngapi...
 
Sex tour miongoni mwa starehe pendwa kwa sisi vijana wa hovyo[emoji3], mim nataka kwenda south nikashuhudie misambwanda OG[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe jamaa umenichekesha sana aisee [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Uzi bila picha ni Umbea tu. Afterall kote ulikotaja wamekatwa atenna ma uzuri bila kipochi kurusha maji ni bure. Hata mbuzi uzi anao
 
Mkuu Nimefika Ethiopia na sijafika Eritrea & Djibout


Kiukweli kaka Wanawake wa Ethiopia ni habari nyingine!.

Wana sifa zote (Watamu & wazuri)
Nchi zote hizi wanawake wake wanaondolewa antena. Huo utamu unaupata wapi? Wana uzuri wa nje tu ila utamu wameondolewa.
 
Mzansi wana weusi ule nauita wa udongo wa mfinyanzi, sio black beauty wala sio chocolate colour.
ukitaka kujua wewe unapenda wanawake wa aina gani,nenda uko.
initially nilijua[gal] mi enthusiast wa makalio makubwa baada ya kupata trip kadhaa kwenda kusini uko nikajigundua mimi sina ulogwa huo bali illusion tu.
hii ilitokana kwasababu kuna watu uko wanamatako makubwa hadi kero.na unakutana nao continuasilly.
wakati unapisha na huyo,mbele yako unaona 3 yamefunga kweli kweli, ukigeuza shingo unaona lingine tena. ghafla tu nikawa bored na kujikuta napenda size ndogo kiasi.
ukiwa uko ni ngumu kukumbuka ni wapi umekutana na mwanamke mwenye figure maana hata hapo uliposimama tu yapo mengi ya kukufanya umsahau fast uliyemuona Dakika 5 nyuma.
 
Huko nje sina uzoefu nako maana huwa nakatisha tu Airports kuitafuta DXB ilipo ila TZ kuna pisi kali sana asikwambie mtu ukitoa Morogoro, Njombe, Songwe & Kigoma.
 
Shida ya South Africa wanawake wake wanabakishwa vitovu virefu tumboni wanapozaliwa wakati wa kuvikata. Kinakuwa kero wakati wa show.
Siyo kweli, labda baadhi, halafu unawajuwa makaladi?
 
Huyu Jamaa ( GENTAMYCINE ) sijui ana Kizizi na Nyota gani yaani pamoja na kwamba yuko Banned lakini bado tu anatajwa, anazungumzwa na anajadiliwa sana na Wapumbavu na Werevu baadhi.

Ni mwamke mwenye msambwanda wa kutosha,nakumbuka utamu alonipa siku ile tukiwa Arusha that's why namuulizia kila mara!

Nikuulize wewe dada yake,Mdogo wako yupo?
 
Hahahahaaa otea manzi wangu hapo atakayeotea namtumia 10000 ya vocha kwa usumbufu shukran
 
Kwa Uzuri wa asili, wanawake wa Tanzania, wamezidiwa na South africa, South africa ina wanawake Wazuri, iwe kwa Uzuri wa asili, kwa urembo, kwa sifa zote unazotaka!

Kile wanawake wa Tanzania walichowazidi Wanawake wa South africa ni akili tu.
 
Ndiyo maana majanga hayaishi. Mwanzo mpk mwisho wa simulizi yako ni kichakata mbususu tu (ushetani bin ushetwani).
 
FROM MY VIEW ;
TANZANIA INA VERSION ZA WANAWAKE WANAOPATIKANA NCHI NYINGI. SABABU NI KUWEPO EAST AFRICA NA KUPAKANA NA SOUTH NA CENTRAL KWA MBALI. JAMII ZA WANAWAKE WA SOUTH AFRICA WAPO TZ MFANO SANDAWE NA HADZABE, WANYIRAMBA NA NGONI(ZURU VERSION)
WASOMALI WAPO TZ.
WAARABU WASHAHILI WAPO TZ. HAWA WANAFANA NA HAO WAMOROCO.
WATUTSI WAPO TZ. WANYAMBO,WAHANGAZA, KIGOMA KUNA KAKABILA KA JAMII YA WATUSI NIMEKASAHAU.
WAKONGO WAPO TZ, UTAPATA WAMANYEMA, WABEMBE , WATONGWE WAGOMA, WAKASAI NK
HAO WAGANDA WAPO TZ. WAHAYA NI VERSION YA WAGANDA.
WAJALUO WAPO TZ. WALE NILOT WA SUDAN VERSION YAO NDIO WAJALUO.
WA ETHEOPIA NDIO UTAPATA WAIRAKI, MASAI NK. WANYATURU.
KUNA WABANTU WA JUMLA AMBAO WAPO AFRIKA NZIMA, HAWA NI KAMA NZIGE .
NOTE:
HUNA SABABU ZA KUSAFIRI NCHI ZOTE HIZO KUTAFUTA KITU KINACHOPATIKANA NYUMBANI, KITAKACHOKUPA UTOFAUTI NI PASPORT NA VIZA.
UKAME ULIOPO TZ NI WANAWAKE WA KIZUNGU NA KICHINA, JAPO WAPO WA KUOKOTEZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…