Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

Umeelezea vizuri....Tanzania ni mixer Moja matata
 
Uko sahihi na faida ya Tanzania nyingine ni kwamba tuna jamii za aina mbalimbali tofauti na Mataifa hayo mengine uliyotaja ambayo mostly ni watu wa kabila Moja au mawili au 3.

Mwisho umeziacha wapi Burundi,Eritrea na Madagascar?
 
Umewahi kufika miongoni mwa nchi Tajwa hapo kwenye uzi?
Rwanda nimefika,,burundi nimefika,malawi nimefika,zambia nimefika, Mozambique nimefika, Zimbabwe nimefika South Africa nimefika, Madagascar nimefika,namibia nimefika Swaziland nimefika lethoto nimefika Ethiopia nimefika.congo kinshasa nimefika congo brazavile nimefika.uganda nimefika kenya nimefika.

Huyo mrwanda haingii kwa mwanamke wa South Africa hata kidogo.
Wengi mnababaishwa na urefu wa twiga na shepu ya matako bapa la wanawake wanyarwanda.lakini hakuna kitu.

Nenda south Africa ukajionee .aajabu ya dunia,,usione wabongo hawataki kurudi huko.

Wengi wamenogewa huku.
Ethiopia.
Lesotho
South Africa
Namibia
Botswana

Hatari ya danger huko mkuu..
 
South Africa wanawake wengi wana nyama za kutosha ila si wazuri,wengi wana sura za Kia-dzabe!
South mji gani mkuu? Isije ikawa umewaona wazimbabwe au wamozambique ukadhani Msouth Africa.

Nenda port Elizabeth
Nenda cape town
Nenda Durban
Nenda estern Cape
Nenda Pretoria

Utaona maajabu ya muumba,,,
 
Bado itabakia kuwa uzuri wa mtu upo machoni pa mtu...

Sijaona cha maana zaidi ya kusafiri nchi mbalimbali...

Zaidi naona unajisifia kufanya zinaa...
Sasa bila Me kunjunjana kuna raha nyingine tena Dona, hata wewe unafurahia kukojozwa, japo ni mama mchungaji wanakuita...sisi tunafurahia kuzichakata tofauti tofauti 🀣
 
Huko West Africa hakuna kitu, Nigeria, Ghana hakuna kitu, angalau Cameroon kuna watoto wazuri.

Well, ya ujanani tuachane nayo ila kwa kuchakata mataifa mawili matatu kipindi cha chuo hali haikuwa mbaya.
 
India tuna comment Wapi? NB: Kwa uzuri wa sura tu.
 
Umughaka nimemmiso Naka ! Bila shaka anaendeleaje vyema!
 
Naam lazima na pia muhimu kujivunia vyetu.

Wanawake wa Tanzania ni wazuri bana. Siyo wa mijini pekee. Nimeenda huko ndani ndani bara unaweza kulowea kabisaa
 
Hai Wana Nigeria wakikukamata mjango umeisha unasema wanaume na wanawake wanafanana kweli? 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nilienda Uganda nikapata mwanamke mmoja anafanya kazi kwenye taasisi ya mikopo,kiukweli she was so beautiful lakini bado hakufika levo za editha wangu wa pale Shinyanga!.
Kwa Editha wa Shy nisikukamate!😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…