Mr passion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 202
- 282
Nadhani ni jambo lisilopingika na la wazi kitamaduni na kiuhalisia pia sidhani kuna kutoelewa umuhimu wenu kwenye majukumu mliopaswa kuyatumikia na kuyafanya kila siku cha ajabu zaidi elimu ya magharibi inawatoa kwenye mfumo wenu na kiasi madhara yake ujitokeza hadharani.
Rudini kwenye maisha yenu kwenye mfumo wenu mnakoenda wala hamtaweza sababu hata Mwenyezi Mungu hakukosea kwenye uumbaji wake.
Rudini kwenye maisha yenu kwenye mfumo wenu mnakoenda wala hamtaweza sababu hata Mwenyezi Mungu hakukosea kwenye uumbaji wake.