Pre GE2025 Wanawake kuwa viongozi/mamlaka si sahihi ni suala lisilo na maadili, baki nyumbani mkitumikia familia zenu

Pre GE2025 Wanawake kuwa viongozi/mamlaka si sahihi ni suala lisilo na maadili, baki nyumbani mkitumikia familia zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umuhimu wa kuheshimu wanawake utauona ukianza kupata watoto wa kike, ukianza ku-assume huyu binti yangu hapaswi kujua What is Biology kwa sababu tu ni mwanamke basi wewe mwenyewe utaona nonsense katka bandiko lako.
nipo nae na wala siwezi jipa umuhimu kwenye swala linaoleweka lazima ata mwanaume na lazima atazaa na lazima atalea kama alivyolelewa yeye acheni kujizima data
 
mbona hatuingi period ndomana mnatakiwa kubaki majumbani tukawatafutie nyie ni sehemu yetu ya faraja baada kazi ngumu
Period ndio inafanya mwanamke asiweze kutafuta pesa?
Hayo ni maumbile ya kike yaliyowekwa kwa uwiano ili kufanya uzalishaji..!!
 
Crew iliyoenda kulinda amani Congo sijaona jinsia yako hata moja,so tupo sawa kwa baadhi ya mambo tu au nini?
Bora nchi ibaki na wanawake 20 ila kuwepo na mwanaume mmoja kwaajili ya upandaji taifa liongezeke…. Sasa wanawake wakifa nani ataongeza taifa?? 😹

Nyie km majogoo hamna faida, mkishawapanda matetea mnauzwa mkachinjwe tu..!! 🤣
 
Period ndio inafanya mwanamke asiweze kutafuta pesa?
Hayo ni maumbile ya kike yaliyowekwa kwa uwiano ili kufanya uzalishaji..!!
naamini uelewa wako ni mkubwa ila unajifanya kujizima data ni wanawake mlioachika tu ndo ua mnajilinganisha na wanaume ila bado wewe ni dhaifu unaitaji kulelewa
 
naamini uelewa wako ni mkubwa ila unajifanya kujizima data ni wanawake mlioachika tu ndo ua mnajilinganisha na wanaume ila bado wewe ni dhaifu unaitaji kulelewa
😹😹😹 Najizima data vipi?
Mama Samia mbona rais na anaongoza, kwani maumbile yake ya kike yanamzuia kuwa kiongozi??

Halafu mi sijaolewa sasa nimeachika lini mkuu? 🤣
Njoo unilee basi 😹
 
😹😹😹 Najizima data vipi?
Mama Samia mbona rais na anaongoza, kwani maumbile yake ya kike yanamzuia kuwa kiongozi??

Halafu mi sijaolewa sasa nimeachika lini mkuu? 🤣
Njoo unilee basi 😹
uko nikuniponza tusifike uko au ndo unipendi kweli

muhimu la mwisho ilo...
 
Kaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! [emoji81]
Mwanaume na mwanamke wako sawa kivipi kama kila unachokiona duniani kwa asilimia 99 ni juhudi na kazi ya wanaume?
 
Kaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! 😹
Ila sijaskia mkililia haki sawa kwenda goma kuwafukuza m23! nimeona ni me pekee ndio wameelekea huko!
 
Umuhimu wa kuheshimu wanawake utauona ukianza kupata watoto wa kike, ukianza ku-assume huyu binti yangu hapaswi kujua What is Biology kwa sababu tu ni mwanamke basi wewe mwenyewe utaona nonsense katka bandiko lako.
Mleta mada si kwamba haeshimu wanawake,alichoongea ndo heshima yenyewe,!!,mke ni kulea watoto na kutunza mji,mwanaume alete mahitaji mhimu baasi,,hivi mwajua ni raha sana mme arudipo kwake akapokewa na mkewe tena kwa bashasha kubwa,, saikological akili inapata utulivu na kufanya kazi vyema,na mke the same,tandani ndo usiseme!!,kuliko unapokewa na house boy au girl!??au hata mwanao,shame on you!!,
Sio kwamba tunaona wivu ye akienda kazini, mhimu ni familia kutunzwa eleweni hilo,umagharibi haufai!!,,ebu fikiria mke ni rubani au dreva atalea mda gani watoto na atawaleaje?mimba nk katika mazingira hayo itakuwaje!!?,,na kamwe haitatokea ile hamsini kwa hamsini!!!,shauri yenu lkn kama mwaona tunachosema hakina maana,uenda hathari hamjaziona au mwachukulia poa tu.
 
Ila sijaskia mkililia haki sawa kwenda goma kuwafukuza m23! nimeona ni me pekee ndio wameelekea huko!
Wewe mwenyewe hapo umetuliza vipira, kwann hukwenda na wanaume wenzio kuwang’oa M23 😹😹😹
 
Kaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! 😹
Ulinzi uimarishwe kwene hii comment 🤣🤣 kitawaka sio muda mrefu
 
Mimi huku nazidi kuchapa kazi sina hata habari.
 
Back
Top Bottom