Nioneshe mapumbu kama kweli tuko sawa😅na kama una kivuzi mknd sawa🥶Ndio, anayofanya mwanaume yote mwanamke anaweza kufanya tukitoa kwenda leba.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nioneshe mapumbu kama kweli tuko sawa😅na kama una kivuzi mknd sawa🥶Ndio, anayofanya mwanaume yote mwanamke anaweza kufanya tukitoa kwenda leba.!
kuna kuku na bata inatosha kusimamia ukiwa nyumbani uku kwingine sio majukumu yenuSomo dogo tu “social construct “ limekushinda.
Ndiwo ndiwo ulinzi muhimu 😹😹Ulinzi uimarishwe kwene hii comment 🤣🤣 kitawaka sio muda mrefu
tumezoea kuona wanapinga ukweli wanaojua na kuuelewa vizuriMleta mada si kwamba haeshimu wanawake,alichoongea ndo heshima yenyewe,!!,mke ni kulea watoto na kutunza mji,mwanaume alete mahitaji mhimu baasi,,hivi mwajua ni raha sana mme arudipo kwake akapokewa na mkewe tena kwa bashasha kubwa,, saikological akili inapata utulivu na kufanya kazi vyema,na mke the same,tandani ndo usiseme!!,kuliko unapokewa na house boy au girl!??au hata mwanao,shame on you!!,
Sio kwamba tunaona wivu ye akienda kazini, mhimu ni familia kutunzwa eleweni hilo,umagharibi haufai!!,,ebu fikiria mke ni rubani au dreva atalea mda gani watoto na atawaleaje?mimba nk katika mazingira hayo itakuwaje!!?,,na kamwe haitatokea ile hamsini kwa hamsini!!!,shauri yenu lkn kama mwaona tunachosema hakina maana,uenda hathari hamjaziona au mwachukulia poa tu.
Nipo mate niende wapi? Ndio nimeingia humu now now.Binti kiziwi upo lakni?
ndomana waarabu hili swala awataki kabisa na uwapenda sana wake zao na uwezi sikia vikelele kwao zaidi ya watu wa magharibu kuwavisha bibomu kichwa ikiwa wao tu wameshindwa mpa KAMALA nchiUkipeleka binti yako shule hata vidudu Ili aje kuwa mke bora hapo baadaye.
na huduma kwa mumeo unatoa sangap?Mimi huku nazidi kuchapa kazi sina hata habari.
Karibu sanaNipo mate niende wapi? Ndio nimeingia humu now now.
Ngoja nichangamshe kijiwe nikitoka hapa naenda kumpigia goti mtoto wa mama mkwe!!Karibu sana
Lakini bado wanaamini kupitia cc 😄Wanawake waliumbwa ili kuwachangamsha Wanaume.
Sasa wanaume tumechangamka Mpaka tumekuwa machizi.
Hebu Fikiria, Tumeambiwa tuishi nae Kwa AKILI,
TAFSIRI YA NDANI ZAIDI NI KWAMBA MTU HUYO ANA MATATIZO. . . UKIKOSEA KIDOGO TU🤣🤣🤣
SASA =>JUU YA KIFUA CHA MWANAMKE, USIKU WA MANANE,TUNATOA AHADI NZITONZITO. . . . .
HIVI TUTABAKI SALAMA KWELI, , , HAKI YA MUNGU WANAUME TUMEUZA UFALME WETU.
Ni wale tu ambao Bado wanaamini kwamba Nyerere anaongoza NchiLakini bado wanaamini kupitia cc 😄
Yeye mbona hajaenda kuwasaidia wanaume wenzie anapiga domo tu hapa..!! 😹Siku mwanamke akianzisha vita tutaenda.
Ego za kiume na greedy zao zianzishe vita halafu tukatese wanawake? Nope 👎🤣
Hayupo Mtu Mwenye AKILI NYINGI kama wewe anayeweza kukubali kwamba MUNGU NI HALISIMkuu acha nikuache tu , kwenye kupata uhakika wa jambo wewe sirifuri kama sifuri zingine tu.
Endeleeni kudanganyanaNdio, anayofanya mwanaume yote mwanamke anaweza kufanya tukitoa kwenda leba.!
Nadhani ni jambo lisilopingika na la wazi kitamaduni na kiuhalisia pia sidhani kuna kutoelewa umuhimu wenu kwenye majukumu mliopaswa kuyatumikia na kuyafanya kila siku cha ajabu zaidi elimu ya magharibi inawatoa kwenye mfumo wenu na kiasi madhara yake ujitokeza hadharani.
Rudini kwenye maisha yenu kwenye mfumo wenu mnakoenda wala hamtaweza sababu hata Mwenyezi Mungu hakukosea kwenye uumbaji wake.
Sio hayo tu,hataa kuwa na pesa Mwanamke hatakiwi kuwa nazo,Dunia na familia haitakalikaNadhani ni jambo lisilopingika na la wazi kitamaduni na kiuhalisia pia sidhani kuna kutoelewa umuhimu wenu kwenye majukumu mliopaswa kuyatumikia na kuyafanya kila siku cha ajabu zaidi elimu ya magharibi inawatoa kwenye mfumo wenu na kiasi madhara yake ujitokeza hadharani.
Rudini kwenye maisha yenu kwenye mfumo wenu mnakoenda wala hamtaweza sababu hata Mwenyezi Mungu hakukosea kwenye uumbaji wake.
Tunadnaganyana vipi? Kwani wewe rais wako ni jinsia gani? 😹Endeleeni kudanganyana
Mafeminine endeleeni kudanganyana na kujazana ujinga mnapokutanaTunadnaganyana vipi? Kwani wewe rais wako ni jinsia gani? 😹
Acheni kujipa umuhimu, ni hiyo mikengele yenu ndo inawafanya tusifanane, km nyie mlivyo hamna visambusa 🤣