Pre GE2025 Wanawake kuwa viongozi/mamlaka si sahihi ni suala lisilo na maadili, baki nyumbani mkitumikia familia zenu

Pre GE2025 Wanawake kuwa viongozi/mamlaka si sahihi ni suala lisilo na maadili, baki nyumbani mkitumikia familia zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tena wengine mmesomeshwa na mama zenu wakati baba zenu hawapo/ wapo bize na kuhonga/kulewa. Wamewahangaikia wee mpaka mmejipata. Lakini mkija hapa ni kulaumu tu!
Kaaziiii kweli kweli!
hapo unaelezea story ya single maza Ndomana tunataka kuwarudisha nyumbani mtulie mlee watoto
 
ndomana waarabu hili swala awataki kabisa na uwapenda sana wake zao na uwezi sikia vikelele kwao zaidi ya watu wa magharibu kuwavisha bibomu kichwa ikiwa wao tu wameshindwa mpa KAMALA nchi
Mkuu usisomeshe mwanao wa kike shule, muweke nyumbani umlee aje kuwa mke bora. Paza sauti na kwenye ukoo wako wote wafanye hivyo!
 
N
Wanawake waliumbwa ili kuwachangamsha Wanaume.
Sasa wanaume tumechangamka Mpaka tumekuwa machizi.
Hebu Fikiria, Tumeambiwa tuishi nae Kwa AKILI,
TAFSIRI YA NDANI ZAIDI NI KWAMBA MTU HUYO ANA MATATIZO. . . UKIKOSEA KIDOGO TU🤣🤣🤣
SASA =>JUU YA KIFUA CHA MWANAMKE, USIKU WA MANANE,TUNATOA AHADI NZITONZITO. . . . .
HIVI TUTABAKI SALAMA KWELI, , , HAKI YA MUNGU WANAUME TUMEUZA UFALME WETU.
Sio wote tunaamini hayo maandiko.
 
PUNGUZENI JAZIBA TUNAWAKUMBUSHA TU MBONA HALI YA HEWA IMEKUA NZITO HUMU KWANZA MNATUMIA ID ZA KIUME KIASI BADO TUNAENDELEA KUWAKUMBUSHA
 
PUNGUZENI JAZIBA TUNAWAKUMBUSHA TU MBONA HALI YA HEWA IMEKUA NZITO HUMU KWANZA MNATUMIA ID ZA KIUME KIASI BADO TUNAENDELEA KUWAKUMBUSHA
Acheni kulalama kama watoto wadogo!
Kuna watu bila jitihada za mama zao wasingefika hapo walipo, japokuwa wanao baba. Alafu we nae unakuja kuleta stories za kukaa nyumbani! KINI?!!
 
😹😹 Sugar ishapanda tayari..!!
Sikiliza without mapombou wewe km mwanamke tu.!!
Haya kwa huo uwanaume wako unaongoza nini zaidi ya mkia wako? 🤣
Wewe umeolewa au ni single maza Mbona una hasira sana😄
Nyie ndio hua mnajifanya mafeminine mna hasira za mimba changa zinazotokana na kutelekezwa na wanaume
 
Acheni kulalama kama watoto wadogo!
Kuna watu bila jitihada za mama zao wasingefika hapo walipo, japokuwa wanao baba. Alafu we nae unakuja kuleta stories za kukaa nyumbani! KINI?!!
Hasira za nini tunawakumbusha tu maana siku hizi mlivyo na stress za utawala mnavuta mimoshi mpaka mnasahau jinsia yenu
 
Back
Top Bottom