Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hujajibu swaliEndeleeni kudanganyana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swaliEndeleeni kudanganyana
Siwezi jibu mtu ambae akili za watoto 7,ndio akili ya Mwanamke mtu mzima 1Hujajibu swali
Nyie wanaume wa siku hizi mnadeka sana. Kila siku kulia lia tu na kulalamika humu jamvini hadi aibu!!!Hata uwe na maisha gani bado utahitaji msaada wa mwanaume kufanikisha ukweli ambao hampendi kuelezwa ukweli bado wewe ni dhaifu kwetu
ukweli wanaopinga wanawake apaSio hayo tu,hataa kuwa na pesa Mwanamke hatakiwi kuwa nazo,Dunia na familia haitakalika
Mwanamke akiwa na uwezo jamii itanyanyasika
Viburi na dharau kwa sana
ndomana waarabu hili swala awataki kabisa na uwapenda sana wake zao na uwezi sikia vikelele kwao zaidi ya watu wa magharibu kuwavisha bibomu kichwa ikiwa wao tu wameshindwa mpa KAMALA nchi
Tatizo lenu ni moja c kudeka wala kulalamika tunawakumbusha kutovuka mipaka na majukumu yenuNyie wanaume wa siku hizi mnadeka sana. Kila siku kulia lia tu na kulalamika humu jamvini hadi aibu!!!
😹😹 Sugar ishapanda tayari..!!Siwezi jibu mtu ambae akili za watoto 7,ndio akili ya Mwanamke mtu mzima 1
Kwani mamaako mbona hakusoma je? ni poyoyoSijabisha. Wewe mtoe mwanao shuleni, Kuanzia utoto wake muandae aje kuwa mke bora tu kwa mme wake nothing else atakua mke bora kuwahi kutokea. Ukiwasonga wenzio nao waige mfano wako mtaandaa wake bora sana mapoyoyo. Change starts with you.
hayo ni maoni yako kama watu wengine.....Kwahiyo Samia akapumzike Kule mchambawima kizimkazi
Akili za shule zipi na kwanini umefikiri nina akili za shule?Hayupo Mtu Mwenye AKILI NYINGI kama wewe anayeweza kukubali kwamba MUNGU NI HALISI
Ni Mpaka uzichomoe Akili zako za Shule na vyuo vya kibinadamu ndipo utakubali kwamba Mungu ni Halisi.
Tena wamempa nafasi nyingine ya kugombea mwaka huu. Na katika ukumbi idadi ya wanaume ilikuwa ni kubwa kuliko wanawake. Kwa hiyo hao wanaume hawakuliona hilo???!!!!Tunadnaganyana vipi? Kwani wewe rais wako ni jinsia gani? 😹
Acheni kujipa umuhimu
Oya nasubiria bei ya mbususuYeye mbona hajaenda kuwasaidia wanaume wenzie anapiga domo tu hapa..!! 😹
Kwani mamaako mbona hakusoma je? ni poyoyo
Si ndo hapo, wote walituliza vipira wakampa mi five tena.!! Hakuna wa kutikisa mkia wake, ss hivi nye nye 😼😹Tena wamempa nafasi nyingine ya kugombea mwaka huu. Na katika ukumbi idadi ya wanaume ilikuwa ni kubwa kuliko wanawake. Kwa hiyo hao wanaume hawakuliona hilo???!!!!
Tena wengine mmesomeshwa na mama zenu wakati baba zenu hawapo/ wapo bize na kuhonga/kulewa. Wamewahangaikia wee mpaka mmejipata. Lakini mkija hapa ni kulaumu tu!Tatizo lenu ni moja c kudeka wala kulalamika tunawakumbusha kutovuka mipaka na majukumu yenu
Unataka ya uvunguni na huyapati cc sio wapumbuvu wa lopolopo rudi kwenye mada acha kumwelezea mtu hapa rejareja tumeunga mada kwa mauzo ya jumlaTena wamempa nafasi nyingine ya kugombea mwaka huu. Na katika ukumbi idadi ya wanaume ilikuwa ni kubwa kuliko wanawake. Kwa hiyo hao wanaume hawakuliona hilo???!!!!
Unaonekana wewe ni dhaifu sana na una chuki binafsi na wanawakemwanaume na mwanamke hawawezi na haitokaa hata siku moja kuwa sawa bwana , kapikeni maandazi![]()
bila shaka njia yetu na upande wako sio sawaPhD holder FYI. Wewe andaa mke mwema hutaki ushauri wako mwenyewe!
Vita wameanzisha nani kama sio wanaume? Pambaneni na hali zenu.Ila sijaskia mkililia haki sawa kwenda goma kuwafukuza m23! nimeona ni me pekee ndio wameelekea huko!
Sawahayo ni maoni yako kama watu wengine.....