Pre GE2025 Wanawake kuwa viongozi/mamlaka si sahihi ni suala lisilo na maadili, baki nyumbani mkitumikia familia zenu

Pre GE2025 Wanawake kuwa viongozi/mamlaka si sahihi ni suala lisilo na maadili, baki nyumbani mkitumikia familia zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe umeolewa au ni single maza Mbona una hasira sana😄
Nyie ndio hua mnajifanya mafeminine mna hasira za mimba changa zinazotokana na kutelekezwa na wanaume
Sijaolewa sijaachika ila mume ninaye..! 😹
Yani sina mume sijaachika ila boyfriend nnaye. We huogopi? 🤣
 
😂😂😂Wii siis hatujui paprika wao wanajua hadi wali wa kufukiza 😂😂
Wali wa kufukiza tena 😹😹🤣
Kweli hao kiboko, itabidi uombe recipe wifi unirushie..!!
 
AKILI ZA SHULE ZINAWEZA KUKUTHIBITISHIA KUWA HAKUNA MUNGU.
Zipo kozi kama Hizi

=> SCIENTIFIC PERSPECTIVES ON RELIGION:
Exploring the relationship between science and religious beliefs, including discussions on the origins of life and the universe.

=> History of atheism

=> Secular ethics and morality
Arguments against God's existence:
Analyzing philosophical arguments like the problem of evil, the argument from nonbelief, or the cosmological argument, which aim to demonstrate inconsistencies or logical flaws in the concept of a deity.
=> Uki Google utazikuta mada nyingi tu zaidi ya Hizo.
 
Unataka ya uvunguni na huyapati cc sio wapumbuvu wa lopolopo rudi kwenye mada acha kumwelezea mtu hapa rejareja tumeunga mada kwa mauzo ya jumla
Kama unataka hivyo kaoe mwanamke muweke ndani akulelee watoto wako. Na ukipata watoto wa kike wala usihangaike kuwapeleka shule. Kila mtu afanye lile analoona ni jema kwake na lina manufaa!!! Usilazimishe wengine kufanya unayoona wewe ndiyo sahihi.
 
Kaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! 😹
Haya ni maoni ya wadangerj
 
Back
Top Bottom