Mr passion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 202
- 282
Kama c muumini wa dini yoyote au uwepo wa Mungu sina nafasi zaidi ya kujieleza kuhusu uwepo wake..Thibitisha kwanza uwepo wa huyo Mungu ambae alishafelisha kudhibiti wanawake wawe viongozi
Unafahamu humu sio kanisani?Kama c muumini wa dini yoyote au uwepo wa Mungu sina nafasi zaidi ya kujieleza kuhusu uwepo wake
mama ake nani uyoKwahiyo unamwambia nini mama
sio tu kanisani hata pia sio msikitini humu linaelewekaUnafahamu humu sio kanisani?
Kwa hiyo mwanaume yuko sawa na mwanamke?Kaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! 😹
Pia athibitishe kuwa Mungu amesema lazima wanawake ndiyo wawe walezi nyumbaniThibitisha kwanza uwepo wa huyo Mungu ambae alishafelisha kudhibiti wanawake wawe viongozi
Yeah ukishindwa thibitisha huyo Mungu wako asiye kuwepo unakausha tu .sio tu kanisani hata pia sio msikitini humu linaeleweka
Mkuu unajuwa nilivyopigwa ban ID zangu zote nilikuwa naingia jamvin bila kulog in. Nikaona umebadilisha Avatar picha ukaweka ya mzee flan sijui Ayatollah nilimaind kichiz. Ban kuisha kurudi jamvin ukairudisha tuliyoizoea ya Jack sparrow maamaee. Kudos dogoUnafahamu humu sio kanisani?
Hapana mkuu wala usijali uzuri mmoja mama yangu ni mwislamu tena yeye ana asili ya Omani kabisa na baba yangu ni mkristo mmatumbi piwa .Mkuu unajuwa nilivyopigwa ban ID zangu zote nilikuwa naingia jamvin bila kulog in. Nikaona umebadilisha Avatar picha ukaweka ya mzee flan sijui Ayatollah nilimaind kichiz. Ban kuisha kurudi jamvin ukairudisha tuliyoizoea ya Jack sparrow maamaee. Kudos dogo
Ndio, anayofanya mwanaume yote mwanamke anaweza kufanya tukitoa kwenda leba.!Kwa hiyo mwanaume yuko sawa na mwanamke?
Hata uwe na maisha gani bado utahitaji msaada wa mwanaume kufanikisha ukweli ambao hampendi kuelezwa ukweli bado wewe ni dhaifu kwetuKaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! 😹
mwanaume na mwanamke hawawezi na haitokaa hata siku moja kuwa sawa bwana , kapikeni maandaziKaoe wahdzabe wa huku hatuwezi kukuelewa mkuu, tofauti ya mwanamke na mwanaume ni jinsia tu..!!
Vingine wote tuko sawa..!! Hizo sheria zako za old stone age kasimulie wajukuu zako.! 😹
liko wazi bitimkongwe kama tunaweza kuzaa watoto na kunyonyesha basi una lingine kuulizaPia athibitishe kuwa Mungu amesema lazima wanawake ndiyo wawe walezi nyumbani
Kama kuna mtu kaingilia majukumu yako wwe sasa fanya mambo mengine, majukumu yako yakimshinda atakurudishia tu wala usiwe na papara!!Ameumbwa kutumikia familia na sio kufanya kazi za kuleta pesa nyumbani uko ni kuungilia majukumu yetu wanaume