Wanawake kuweni makini

Mkuu suala la mwanamke kuliwa nje ya ndoa yake wewe lisikie tu ..usiombe likukute. Suala ya maumivu eti kwa sababu na wewe unachepuka siyo maamuzi sahihi kwenda kugawa mbususu kwa njemba ingine hiyo ni mbaya zaidi maana yeye mkeo anaenda ingia ingiliwa sehemu ambayo wewe mume wa ndoa unaingia. ..imagine utapata mzuka tena wa kuishi naye?? Sema now days ni mambo ya kawaida sana hayo
 
Kabisa mzeebaba ..umemaliza kila kitu.
Mwanamke akikubali miwili wake utumike nje ya mume wake hapo Kwa kweli siyo bahati mbaya hiyo nakataa kabisa.
 
mwanaume mwingine ambaye amethibitishwa kutembea na mke wa jamaa kwa miaka miwili sasa.
Ngoja kwanza βœ‹βœ‹ hv Inakuaje mkeo anakua na mahusiano nje miaka miwili bila ww kugundua 😠😠😠 jamaa ni mdhaifu sana
 
Jamaa yupo sahihi kabisa,ukisha kua humuamini mtu ni bora kuachana nae tu kuliko kuishi maisha ya wasiwasi,amtwange talaka tu ili akaolewe na huyo aliyekua anachepuka nae,

Life is very short hakuna haja ya kuishi maisha ya wasiwasi.
Upo sahihi, na huyo aliyekuwa anachepuka naye atamkimbia......maana alikuwa na maslahi binafsi
 
Endapo kwa miaka yote miwili huyo mumewee hajawahiii fanya na mwanamke mwingine yeyote hata mara moja, basi na amwache mkewe...
comment yako ingizwe kwenye kumbu kumbu za Bunge iyo ndio kanuni!
 
Mawasiliano tena kiongozi unataka kujiweka, jamaa ni mtu decent na anatuasa sana kuhusu uhuni nahisi swala la usaliti kwake sidhani
The so called decent huwa wana mambo ya siri ukiyajua utashangaa
 
wanawake wako makini sanaaa, huyo unayemwongelea aliteleza tu kidogoo

Na anavyokupigia simu si ajabu na wewe upo kwenye list yake ya atakaotembea nao baada ya msala kumalizika

anyway kila shwetani na mbuyu wakeee
Aliteleza akaendelea kwa miaka miwili?
 
Wanawake sio viumbe wakawaida mkuu, hilo mbona ni dogo tu.
 
Akishamuacha mkewe mwambie jamaa achonge mgomba aoe




As long as anaishi/ataishi na binadamu kuna uwezekano atasalitiwa tu

Tena inawezekana hata yeye anauza mechi ila kwa mkewe anajifahya ana kinyaa
 

Upo sahihi tazama anachofollow huyu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…