Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

Hizi ishu nazicategory kama giver na receiver.

Kuna anaenjoy kua giver na mwingine receiver.

Sisi magiver, hua tunaandaa na kujiandaa na hatuna neno.

Umekutana na receiver na unatamani treatment ya giver. Kazi unayo
 
Hahah hapana, maandilizi nayafanya mwenyewe kichwani...

Ukifika muda wa mechi ni kupiga kipyenga na mchezo kuanza...
afadhali aisee

maana hili swala la kuandaliwa ni hatari


kwanza mwanamke akikuandaa ujue kifuatacho ni hatari...........

(unless kama mleta uzi alimaanisha foreplays sijui ndio romance wenyewe mnaita kabla ya wapendanao)
 
Sijui niite uzoefu au ni nini, nilishawahi kutana na wasichana kama wanne nyakati tofauti. Wanaweza sana kumuandaa mwanaume ila wote waliishia kunishawishi au kutoleta ubishi kuliwa 0713. Sasa sjui kama naweza kufanya conlusion hapo au niendelee kukusanya taarifa.
 
Sikuhizi Wanawake wengi (hasa walioolewa) washalichukulia tendo la ndoa Kama Ni hisani kwa mwanaume.

Ndo maana biashara ya kununua makahaba haitokuja ife kamwe, wale wanajua Nini wanafanya kumfurahisha mteja wake.

Wanaume wengi (hasa waliooa) wanaenda sana kule kujipatia kitu roho inapenda.

Kisha,
maisha mengine yanaendelea kwa utulivu kabisa bila migogoro ya Hapo na pale KWENYE ndoa.
 
Screenshot_20211110-171940_1.jpg
 
Back
Top Bottom