DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Mechi za ugenini zinaimarisha mahusiano.Mtoa mada uko sahihi kabisa. Ifikie wakati hawa ndugu zetu nao watambue fika jukumu la faragha ni la wote!
Haiwezekani jukumu la kumfikisha kilele cha mlima liachwe kwa mtu mmoja tu, huku yeye mwenyewe akijigeuza kuwa gogo la mti. Huu uzembe unachangia sana baadhi yetu kwenda kucheza mechi za ugenini.
Wanawake mnatakiwa mbadilike kwa kweli. Huu mwaka 2022 hatuta wavumilia hata kidogo. Tutachukua hatua stahiki.
Vinginevyo tukikomaa sana tunataka show za uhakika mahusiano yanakufa onsport