Wanawake, kwanini huwa mnapambana kumtawala mwanaume kisha kumtenganisha na ndugu zake na rafiki zake?

Nakerwa zaidi na tabia za baadhi ya wake kuwachukia mama wa waume zao. Mtu kapambana na mtoto mpaka hapo mlipokutana alaf kisa amekupata basi ndo akate mazoea na mama yake! Kijana akimjali mama yake kidogo basi mke full kutafuta njia za kuwafarakisha, Hasa mwanamke ambae tayari mmezaa ndo wanadharau zaid wakwe zao wakike, Mungu atusaidie!
Na ndio maana wanaume waliolelewa na single maza wanachelewa sana kuoa na hata wakioa ndoa zinakuwa hazidumu kwasababu mama anakuwa na nguvu kuliko mke kwahiyo wanawake hicho kitu hawataki wanaona kama dharau kwao.
 
Maisha haya wanawaza mali tu
Mbona wengine hawana hizo mali? Ni akili za kijinga za wanawake wengi wa sasa kutaka kutawala wanaume.

Kizazi cha mama zetu ilikuwa akimuona mzee hasomeki anashangaa shangaa tu nyumbani wanawake hawa wa toleo la zamani walikuwa anakwenda mchagoni anampa mzee visenti kidogo na kumwambia nenda kanyooshe miguu huko mtaani uongee na wenzako.

Lakini hawa wa sasa kwanza ukifeli ndio furaha kwake ili akusimange vizuri na anataka ukae nyumbani ili uombwe hadi 500 ya kununuwa chumvi.
 
[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu amenikuta nao halafu ghafla tu ajaribu kunitenganisha nao, ataondoka yeye kwanza
 
Mtu anapooa au kuolewa kuna vitu vinabadilila, hata katika urafiki inabidi kuwa waelewa.

Hata hivyo; wengi wa wanaochukia ndugu ni kwa sababu ya roho mbya tu na ubinafsi.

Kingine ni kuwaona ndugu au marafiki kama threat hasa katika jitihada zake za kummiliki mumewe.

Feminism ni sababu nyingine kuu.
 
Back
Top Bottom