Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio maana wanaume waliolelewa na single maza wanachelewa sana kuoa na hata wakioa ndoa zinakuwa hazidumu kwasababu mama anakuwa na nguvu kuliko mke kwahiyo wanawake hicho kitu hawataki wanaona kama dharau kwao.Nakerwa zaidi na tabia za baadhi ya wake kuwachukia mama wa waume zao. Mtu kapambana na mtoto mpaka hapo mlipokutana alaf kisa amekupata basi ndo akate mazoea na mama yake! Kijana akimjali mama yake kidogo basi mke full kutafuta njia za kuwafarakisha, Hasa mwanamke ambae tayari mmezaa ndo wanadharau zaid wakwe zao wakike, Mungu atusaidie!
Mbona wengine hawana hizo mali? Ni akili za kijinga za wanawake wengi wa sasa kutaka kutawala wanaume.Maisha haya wanawaza mali tu
[emoji23][emoji23]Mbona wengine hawana hizo mali? Ni akili za kijinga za wanawake wengi wa sasa kutaka kutawala wanaume.
Kizazi cha mama zetu ilikuwa akimuona mzee hasomeki anashangaa shangaa tu nyumbani wanawake hawa wa toleo la zamani walikuwa anakwenda mchagoni anampa mzee visenti kidogo na kumwambia nenda kanyooshe miguu huko mtaani uongee na wenzako.
Lakini hawa wa sasa kwanza ukifeli ndio furaha kwake ili akusimange vizuri na anataka ukae nyumbani ili uombwe hadi 500 ya kununuwa chumvi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wengine hawana hizo mali? Ni akili za kijinga za wanawake wengi wa sasa kutaka kutawala wanaume.