😁😁😁 dah hili jibu limekaa kiutu uzima sana duhUnaweza kumjibu mwanao uliyempa ada aende shule kumbe hajafika bado shuleni anatumbua pesa na wasichana wasiosave number.
Kama ni hivyo tu pekee kwanini inakuwa kwa wanawake wengi mnapenda kufanya hivi ni ngumu Sana kusave siku hiyohiyo mlioombwa number mnakuwa mnafikiri nini na kwanini inakuwa hivyo?Mpaka kuwe na umuhimu wa kufanya hivyo vinginevyo wala sihangaiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro we tulia tu. Hata ukisaviwa unaeza kuta amekusave 'ndondocha'[emoji23]Kama ni hivyo tu pekee kwanini inakuwa kwa wanawake wengi mnapenda kufanya hivi ni ngumu Sana kusave siku hiyohiyo mlioombwa number mnakuwa mnafikiri nini na kwanini inakuwa hivyo?
Weka neno mzazi ukimkalia kimya huyu hasara itarudi kwk km mzazi utalazimika kulipa ada x ya pili kwkutokukubali kijna abaki nyumbn, kemea hili mapemaUnaweza kumjibu mwanao uliyempa ada aende shule kumbe hajafika bado shuleni anatumbua pesa na wasichana wasiosave number.
Kwa wengine sijui ila kwangu ndio nipo na huo utaratibu hadi kuwe na umuhimu wa kufanya hivyo vinginevyo nitasave namba za wangapi?Kama ni hivyo tu pekee kwanini inakuwa kwa wanawake wengi mnapenda kufanya hivi ni ngumu Sana kusave siku hiyohiyo mlioombwa number mnakuwa mnafikiri nini na kwanini inakuwa hivyo?
[emoji23]Bro we tulia tu.....hata ukisaviwa unaeza kuta amekusave 'ndondocha'[emoji23]
Issue ni umuhimu wa mtuKwa wengine sijui ila kwangu ndio nipo na huo utaratibu hadi kuwe na umuhimu wa kufanya hivyo vinginevyo nitasave namba za wangapi?
Ndio.Issue ni umuhimu wa mtu
Nilijua tu comment kama hii haitakosekana [emoji23][emoji23]Kuwa na hela tu na umuhumi namba unaombwa, na wanakuuliza baba tuku save vipi .. yani hata ukigonganisha jina ulie mkuta atafutwa una seviwa wewe
Ndio ukweli wenyewe 😅😅