Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

U
Habari zenu

Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako alikuwa hajaisave hii imekaje?

Kwanini nyinyi wanawake inachukua muda mrefu kusave number ya mtu?
Ukiona mwanamke ana save namba yako haraka haraka ujuwe huyo either ana mtu au mke wa mtu,maana anajua anaweza kujichanganya na hiyo namba ikamletea shida...
 
U

Ukiona mwanamke ana save namba yako haraka haraka ujuwe huyo either ana mtu au mke wa mtu,maana anajua anaweza kujichanganya na hiyo namba ikamletea shida...
Hili nalo linafikirika Unaweza ukawa sahihi
 
Habari zenu

Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako alikuwa hajaisave hii imekaje?

Kwanini nyinyi wanawake inachukua muda mrefu kusave number ya mtu?
....kuna ambao wakiomba namba wanapewa na wanaambiwa ebu nione sijakosea, yako imeishia ngapi, ni-text...Kwa kifupi tafuta Pesa bro itakuongezea u-smart na kujiamini na mwanamke hawezi acha kuku-save na usipomtafuta atakuwa anakukumbusha mwenyewe kwa kukusalimia mara kwa mara...Vinginevyo hata utakaobahatika ku-sevi-wa nao wata-kusave msumbufu, mweusi, kiduku n. k hata jina hawatokuuliza.
 
Kama wee Ni mpwinyo, vumilia
Lazima itachukua mda kdg mkuu[emoji4]
JamiiForums213200064.jpg
 
Mwanamke huweza kutongozwa zaidi ya mara 5 kwa siku. Hivyo si rahisi kusave namba ya kila anaemtongoza. Labda na yy awe amekuelewa since day 1. Vinginevyo unaweza hata msaundisha mwaka na akawa hajasave
 
Kwa nlivyofanya research mkulungwa nimegundua pisi Kali zinatongozwa sana na hasa zile zinazozururah Kwa siku hazikosi kuombwa namba hata na masela 20,kwenye kusevu hapo anaagalia xfactor,na skuizi ni mpunga,tutafute mpunga mzee ili tupunguze kujielezea.
 
....kuna ambao wakiomba namba wanapewa na wanaambiwa ebu nione sijakosea, yako imeishia ngapi, ni-text...Kwa kifupi tafuta Pesa bro itakuongezea u-smart na kujiamini na mwanamke hawezi acha kuku-save na usipomtafuta atakuwa anakukumbusha mwenyewe kwa kukusalimia mara kwa mara...Vinginevyo hata utakaobahatika ku-sevi-wa nao wata-kusave msumbufu, mweusi, kiduku n. k hata jina hawatokuuliza.
Mkuu nimezungumza in general hiki kitu nakiona Sana Ndio maana nimeamua niulize Hilo swali hasa kwa wanawake wenyewe mbona wapo watakusave na wapo pia hawatakusave ipo hivyo kama ni issue ni hela kama unavyosema huyu manzi tulichat nae wiki hivi baada ya kupita muda nampigia ananiuliza nani mwenzangu nikashangaa ila nikamjibu fulani mbona sikujui by the way sipendi kujieleza eti nianze kujieleza tulikutana sehemu fulani nikaamua kukata simu na siku hiyo hiyo nikafuta namba yake baada ya wiki mbili kupita huyo Manzi akanitafuta na kunitumia message nyingi na lawama kwamba simtafuti na message simjibu ndugu InvisibleTarget ebu kuwa kwenye nafasi yangu unataka kuniambia hapa ni hicho ulichozungumza?
 
Back
Top Bottom