azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 863
- 1,293
Tafuta sana pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu
Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako alikuwa hajaisave hii imekaje?
Kwanini nyinyi wanawake inachukua muda mrefu kusave number ya mtu?
🤣🤣🤣🤣Huwa wanakwepa kuulizwa huyu umemsave hivi nani yako, in short huwa wanaogopa kupoteza sponsor wa awali