Shukrani nimekupata kuna mmoja niliwahi kuchukua number yake nampigia tuzungumze anauliza nani mwenzangu nikamwambia fulani nikajua tu huyu hajaisave akajibu sijakupata nami sipendi kujieleza kabisa eti sijui nianze kumwelezea tulikuta wapi wakati haijapita muda nilichat nae vizuri nilivyoona hivyo tu nikamkatia simu na number yake nikaifuta siku hiyo hiyo nakujakushangaa imepita kama wiki Tatu anaanza kunitumia message yeyenyewe nilijua ni yeye nilivyoangalia number yake ya usajili na ananitupia lawama mbona message zake sizijibu na pia simtafuti vipi huyu mdada unamweka kwenye kundi gani? Eti
Daby mshamba_hachekwi