Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

Adi wewe [emoji28]
Sikutegemea. Inakuaje unajenga/unaruhusu ukaribu na mtu ambae unajua fika kuwa humuitaji?
Jaman, si mmesema siku ya kwanza? Sasa ile tumekutana tu mimi kiukweli huwa sisave namba siku za mwanzo ila mawasiliano yakiendelea ndio nitajua nasave namba ama napotezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wengine sijui ila kwangu ndio nipo na huo utaratibu hadi kuwe na umuhimu wa kufanya hivyo vinginevyo nitasave namba za wangapi?
Shukrani nimekupata kuna mmoja niliwahi kuchukua number yake nampigia tuzungumze anauliza nani mwenzangu nikamwambia fulani nikajua tu huyu hajaisave akajibu sijakupata nami sipendi kujieleza kabisa eti sijui nianze kumwelezea tulikuta wapi wakati haijapita muda nilichat nae vizuri nilivyoona hivyo tu nikamkatia simu na number yake nikaifuta siku hiyo hiyo nakujakushangaa imepita kama wiki Tatu anaanza kunitumia message yeyenyewe nilijua ni yeye nilivyoangalia number yake ya usajili na ananitupia lawama mbona message zake sizijibu na pia simtafuti vipi huyu mdada unamweka kwenye kundi gani? Eti Daby mshamba_hachekwi
Barbiedoll hapa unasemaje kwamba anikubali au analeta utoto?
 
Kuwa na hela tu na umuhumi namba unaombwa, na wanakuuliza baba tuku save vipi .. yani hata ukigonganisha jina ulie mkuta atafutwa una seviwa wewe
Sema mmekariri wimbo wa tafuta hela mtu ujui hata mazingira ya mimi niliyokutana na huyo manzi ushahitimisha story sisi wabongo sijui tunatatizo wapi
 
Shukrani nimekupata kuna mmoja niliwahi kuchukua number yake nampigia tuzungumze anauliza nani mwenzangu nikamwambia fulani nikajua tu huyu hajaisave akajibu sijakupata nami sipendi kujieleza kabisa eti sijui nianze kumwelezea tulikuta wapi wakati haijapita muda nilichat nae vizuri nilivyoona hivyo tu nikamkatia simu na number yake nikaifuta siku hiyo hiyo nakujakushangaa imepita kama wiki Tatu anaanza kunitumia message yeyenyewe nilijua ni yeye nilivyoangalia number yake ya usajili na ananitupia lawama mbona message zake sizijibu na pia simtafuti vipi huyu mdada unamweka kwenye kundi gani? Eti Daby mshamba_hachekwi
😂 ukiongeleshwa si unajibu na wewe.....hamna formula jamani kwani mtu asipokusave ina maana anakuchukia moja kwa moja?? eti Leejay49
 
Sometime hawa wadada Wana utoto mwingi baadhi yao mtu kakuonesha hakui inakuaje baadae anaonesha anakuja kama sio utoto ni nini?
mimi hayo mambo ya mapenzi nishaachaga, natafta mbususu tu 😂 hizo drama hazinipi stress, sasa nyie kazi mnayo.....
 
Hahahah
Ukiwa mpambanaji kuna siku ya kutafuta hivyo na ya kupata ipo, we pambania tu mkuu.
 
Back
Top Bottom