Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

Huwa wanakwepa kuulizwa huyu umemsave hivi nani yako, in short huwa wanaogopa kupoteza sponsor wa awali
Habari zenu

Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako alikuwa hajaisave hii imekaje?

Kwanini nyinyi wanawake inachukua muda mrefu kusave number ya mtu?
 
Akusave ili iweje mkuu,ukichakata mbususu tu pita hv
 
Back
Top Bottom