mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nyie ndo hatari mnatusave kwa namba unakuta mtu kazeviwa 3.... 😂msave tu ata jina la sehemu mliyokutana😅 ilimradi namba isibaki hivihivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie ndo hatari mnatusave kwa namba unakuta mtu kazeviwa 3.... 😂msave tu ata jina la sehemu mliyokutana😅 ilimradi namba isibaki hivihivi
🤣🤣🤣 eti 3.., ina maana hizo namba nyingine zote ziko filled na watunyie ndo hatari mnatusave kwa namba unakuta mtu kazeviwa 3.... 😂
Ukiona mwanamke ana save namba yako haraka haraka ujuwe huyo either ana mtu au mke wa mtu,maana anajua anaweza kujichanganya na hiyo namba ikamletea shida...Habari zenu
Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako alikuwa hajaisave hii imekaje?
Kwanini nyinyi wanawake inachukua muda mrefu kusave number ya mtu?
ndio....si unakuta amazikusanya za hao wote wanaomsimamisha uchochoroni kila siku 😂🤣🤣🤣 eti 3.., ina maana hizo namba nyingine zote ziko filled na watu
Mkuu hiyo pesa utaiyonaje ikiwa ni Mara ya kwanza tumekutana Tena njiani nimemsimamisha nikaomba number yake ya simuMwanamke anaangalia status, hili linatumuweka aone umuhimu wako pamoja na pesa
Hili nalo linafikirika Unaweza ukawa sahihiU
Ukiona mwanamke ana save namba yako haraka haraka ujuwe huyo either ana mtu au mke wa mtu,maana anajua anaweza kujichanganya na hiyo namba ikamletea shida...
aisee, kazi kwelikweli 😅🙌ndio....si unakuta amazikusanya za hao wote wanaomsimamisha uchochoroni kila siku 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kusave tyuuh, hadi kumtafuta kutwa mara 3 km Dosage ya malaria.Endelea kuzitafuta watakusave mbona hadi utakereka
....kuna ambao wakiomba namba wanapewa na wanaambiwa ebu nione sijakosea, yako imeishia ngapi, ni-text...Kwa kifupi tafuta Pesa bro itakuongezea u-smart na kujiamini na mwanamke hawezi acha kuku-save na usipomtafuta atakuwa anakukumbusha mwenyewe kwa kukusalimia mara kwa mara...Vinginevyo hata utakaobahatika ku-sevi-wa nao wata-kusave msumbufu, mweusi, kiduku n. k hata jina hawatokuuliza.Habari zenu
Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako alikuwa hajaisave hii imekaje?
Kwanini nyinyi wanawake inachukua muda mrefu kusave number ya mtu?
Umbwa hawaNangoja majibu imewahi nitokea pia. Nimehudumia mwezi mzima kuna siku nashika simu aliomba nimpigie dada yake niweke loudspeaker (alikuwa busy na kupika) ile naingia kwenye calls naona namba yangu ipo uchi kabisa. Nilimuuliza akaanza kulia lia eti alisahau.
Abee.........Kelsea......
.......sorry naomba namba yako ya simu.......Abee
Kama tumeshakua na mazoea na tupo vzuri tu namba nitazisave. Vinginevyo huwaga sihangaiki.Nazungumzia baada ya muda kupita mawiki na miezi na mmezoeana plus mengineyo lakin bado unakuta haijaseviwa
😂 9878765467.......sorry naomba namba yako ya simu.......
Mkuu nimezungumza in general hiki kitu nakiona Sana Ndio maana nimeamua niulize Hilo swali hasa kwa wanawake wenyewe mbona wapo watakusave na wapo pia hawatakusave ipo hivyo kama ni issue ni hela kama unavyosema huyu manzi tulichat nae wiki hivi baada ya kupita muda nampigia ananiuliza nani mwenzangu nikashangaa ila nikamjibu fulani mbona sikujui by the way sipendi kujieleza eti nianze kujieleza tulikutana sehemu fulani nikaamua kukata simu na siku hiyo hiyo nikafuta namba yake baada ya wiki mbili kupita huyo Manzi akanitafuta na kunitumia message nyingi na lawama kwamba simtafuti na message simjibu ndugu InvisibleTarget ebu kuwa kwenye nafasi yangu unataka kuniambia hapa ni hicho ulichozungumza?....kuna ambao wakiomba namba wanapewa na wanaambiwa ebu nione sijakosea, yako imeishia ngapi, ni-text...Kwa kifupi tafuta Pesa bro itakuongezea u-smart na kujiamini na mwanamke hawezi acha kuku-save na usipomtafuta atakuwa anakukumbusha mwenyewe kwa kukusalimia mara kwa mara...Vinginevyo hata utakaobahatika ku-sevi-wa nao wata-kusave msumbufu, mweusi, kiduku n. k hata jina hawatokuuliza.