Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Hahaa na sasa tumejifunza, tutakua tunaweka sehemu ambayo wewe hautaona hadi huyo mgeni mwingine ili akukamate na ushahidi, umeacha kula udongo?😀😀
 
Sisi wanaume akili zetu sometime ni chenga, wewe gheto lako huwezi lifanya kama guest kila dem unampeleka tu. Nyumba yako ama chumba chako mpeleke mtu ulie na malengo nae Mnajaza mikosi tu kwanza ni ujinga kabisa huo. Hawa wa piga ilale ni kumalizana nao guest huko. Mnakaribisha na mikosi majumbani mwenu bila kujua.
 
Tunaweka ulinzi shirikishi!
Kuna mmoja aliacha khanga kwa mwanaume, sasa demu wake na jamaa alivyokuja akamuuliza hii khanga ya nani?
Jamaa akajibu, “Ya kwangu navaa nikiwa nasikiliza taarabu” [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haaa haaa haaa, u made my day mtani, hii mbinu soon naitumia. Nikiulizwa khanga ya nani najibu yangu navaaga nikisikiliza taarab.
 
Kabla ya kutoa povu umeelewa topic? Huyo maalum anayekuja kuna vitu kaacha au?
 
Mkuu umetisha na mbinu za kijasusi!
 
Duh, kuondoa ushahidi wote eneo la tukio bila kuacha trace Siyo kazi rahisi
 
Tunaweka ulinzi shirikishi!
Kuna mmoja aliacha khanga kwa mwanaume, sasa demu wake na jamaa alivyokuja akamuuliza hii khanga ya nani?
Jamaa akajibu, “Ya kwangu navaa nikiwa nasikiliza taarabu” 🤣🤣🤣
Kuna na ile ya mchuchumio akasema amavaa akiwa anabadilisha bulb, wanaumeee🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…