Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
- Thread starter
- #61
Unajiteteaje kwa mfano mkuuKuna wale wanaoacha sehemu usiyoijua. Halafu mwingine akija anaanzia hapo usipopajua na anagundua kuna mwenzake.
Ukiulizwa una mwanamke mwingine, jibu kwa akili. Kwasababu hakuna swali analouliza mwanamke bila kuwa na majibu.