Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Ndo ivO
 
kkuna mwanamke niliwahi ishi nae miaka miwili sasa tulizoeana sana siku moja nikamuambia emb niambie ukweli kati ya jasho langu na mdomo lipi ambalo linanisibu mimiπŸ˜€,akaniambia kwa kweli chifu ww mdomo hunuki kabsa na sikufichi ila jasho lako ukitoka mazoezi ni balaa na hizo soksi zakooooπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni kweli harufu mbaya inakera kwa kweli,
Kuna wengine pumzi zao hutoa harufu ya kukera sijui hua ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…