The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
DUDUKWE ndio nini?Ushauri usije kutega samaki ukaibuka na DUDUKWE [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DUDUKWE ndio nini?Ushauri usije kutega samaki ukaibuka na DUDUKWE [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Mi asiyejua Kucheza na mwili wangu hapana kwa kweli
Ndo ivOEmbu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha.
Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake.
Yaani zile sexdiser ambozo ulikuwa unazivuta picha kuwa atakuwa yupo hivi vile af unafika mnakuwa kwenye harakati af gafla mzuka wako unakata kabaisa.
Mfano hapa jf unakuwa na boy wako ila hamjawai onana siku mnaona ndio siku mlio panga kuzagamuana lakini ulivyo muona tu moto ukakata embu semeni leo tupo hapa wanaume tunawasikiliza.
Tuanze na amadala awakifwatiwa na
Depal
To yeye
miss eyes
Unique Flower
Cute Wife
wakimalizia na
Dream Queen
Wa mwisho atakuwa FaizaFoxy
Ahhaha mnunulie dawa ya mswaki atajiongezaKitu mojawapo kinachokata stim ya kuendelea aisee ni kinywa kuwa na harufu,,, daah jitahidini sio mtu unamkumbatia huku umegeuza shingo mmh, ni vile tu hatuwez kuongea
Ahahah sema kitu roho yangu itaponaNdo ivO
sio kwa ubaya kuna mwanamke leo nimekaa nae kwenye hiace ananuka mdomo halfu kapendeza sana...sasa nikajiuliza huyu mtoto mzuri hv ananuka mdomo au ni mimi nikaanza kufanya jaribio la kujinusa nilipofka kibaruani,nikaja kugundua ni yeye maana mimi sikuongea kabisaHarufu ya Beberu na harufu ya mdomo
kunuka mdomo hakuhusiana na dawa ya mswaki ila namna unavyopiga huo mswakiAhhaha mnunulie dawa ya mswaki atajiongeza
🤣🤣🤣🤣🤣Soma #70Ahahah sema kitu roho yangu itapona
Ni kikojozi au?Mpaka sasa bado sijatajwa
Aloooh,, tatizo mnapiga mswak Fasta Fasta kama mnakimbizwa, hauwez kutakata yale masalia ya uchaf ndo yanatengeneza kale kaharufu shauri zenu!! Tutabadil mfumo badala ya huge tutakuwa tunagonga tano na kuondoka!!Ahhaha mnunulie dawa ya mswaki atajiongeza
Ni kweli harufu mbaya inakera kwa kweli,sio kwa ubaya kuna mwanamke leo nimekaa nae kwenye hiace ananuka mdomo halfu kapendeza sana...sasa nikajiuliza huyu mtoto mzuri hv ananuka mdomo au ni mimi nikaanza kufanya jaribio la kujinusa nilipofka kibaruani,nikaja kugundua ni yeye maana mimi sikuongea kabisa
Kuna wengine ni maradhi yapo tumboni sio suala la mswaki wala jinsi ya kupiga mswakiAhhaha mnunulie dawa ya mswaki atajiongeza
Hahahah wewe kiboko🤣🤣🤣 Mi asiyejua Kucheza na mwili wangu hapana kwa kweli
😳😳😳Mwanaume mwenye pesa zinazoonekana kwa macho na Sio bank.
Ukiwa na milioni mbili umevaa vizur unanukia umekodi suti,umekodi gari unang'oa pisi kali kuliko mwanaume rafu mwenye milion 700 bank
Basi tuvumilien 😂Kuna wengine ni maradhi yapo tumboni sio suala la mswaki wala jinsi ya kupiga mswaki
Ahhahahah ata romance utakaz kwahiyo? 😂Aloooh,, tatizo mnapiga mswak Fasta Fasta kama mnakimbizwa, hauwez kutakata yale masalia ya uchaf ndo yanatengeneza kale kaharufu shauri zenu!! Tutabadil mfumo badala ya huge tutakuwa tunagonga tano na kuondoka!!
[emoji1787][emoji1787]Mnatuone walevi na wazinz ninyi wanywa soda mnakufa mapema kisa kisukari