Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha.

Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake.

Yaani zile sexdiser ambozo ulikuwa unazivuta picha kuwa atakuwa yupo hivi vile af unafika mnakuwa kwenye harakati af gafla mzuka wako unakata kabaisa.

Mfano hapa jf unakuwa na boy wako ila hamjawai onana siku mnaona ndio siku mlio panga kuzagamuana lakini ulivyo muona tu moto ukakata embu semeni leo tupo hapa wanaume tunawasikiliza.

Tuanze na amadala awakifwatiwa na

Depal
To yeye
miss eyes
Unique Flower
Cute Wife
wakimalizia na
Dream Queen

Wa mwisho atakuwa FaizaFoxy
Ndo ivO
 
kkuna mwanamke niliwahi ishi nae miaka miwili sasa tulizoeana sana siku moja nikamuambia emb niambie ukweli kati ya jasho langu na mdomo lipi ambalo linanisibu mimi😀,akaniambia kwa kweli chifu ww mdomo hunuki kabsa na sikufichi ila jasho lako ukitoka mazoezi ni balaa na hizo soksi zakoooo😀😀😀😀
 
sio kwa ubaya kuna mwanamke leo nimekaa nae kwenye hiace ananuka mdomo halfu kapendeza sana...sasa nikajiuliza huyu mtoto mzuri hv ananuka mdomo au ni mimi nikaanza kufanya jaribio la kujinusa nilipofka kibaruani,nikaja kugundua ni yeye maana mimi sikuongea kabisa
Ni kweli harufu mbaya inakera kwa kweli,
Kuna wengine pumzi zao hutoa harufu ya kukera sijui hua ni nini
 
Back
Top Bottom