Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #101
Ahhaha wewe dada unanimaliza ase πππ af inaelekea mtam wewe mpaka unajali hayoJamn mbona sasa ni unyanyasaji wa kijinsia,,, yaani uone fahari kula tunda huku mwenzio kashika pua isipitishe hewa wala kutoa!
Si bro wa binamu haina madahara πDaah tatizo huyo ni bloo wanguπ
Una hamu ya kutwangwa matusi wewe, kwa nini unanichukulia poa FaizaFoxy?Wa mwisho atakuwa @FaizaFoxy
Ahahaha ngoja ajeUna hamu ya kutwangwa matusi wewe, kwa nini unanichukulia poa FaizaFoxy?
Sura ya songesha ndio ipi hii, hebu tupe mfano.Mwanaume mchafu mwenye sura ya SONGESHA hapaaanaa kwa kweli
"Hatuwezi kuikomboa Tanzania kwa kuwategemea vijana wanaowaza pombe na ngono" - Amicus CuriaeUzinzi na ulevi ndio chanzo cha umasikini Tanzania.
Sura ya songesha tena [emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume mchafu mwenye sura ya SONGESHA hapaaanaa kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mwanamke anaenukia unyunyu mzuri na msafi...sio demu ananukia marashi ya elfu 30 ya kutoka mnunuzi wa bandari yetu...yani demu ananukia ubani,udi utafikiria mganga wa kuagua mapepo
Sasa Dogo unajua kabisa bila pesa hata uwe na sura kama yusuph bado hujakamilikaAhahah bro upo poa
Mnatuonea sana vijana wa bongo
Mi mwenyew nacheka mpaka bas,,, maana huwa inastajabisha sana,, na jamaa wa ivo huwa wana pupa ile mbaya, yaan ni mwepes wa kufakamia yale maeneo yenye hitilaf kwa mwenzake bila kujua anasababisha kujaa kwa mate mdomoni maana ni marufuku kutema mbele ya binadam mwenzakoAhhaha wewe dada unanimaliza ase [emoji23][emoji23][emoji23] af inaelekea mtam wewe mpaka unajali hayo
Ahaha mkuu una watoto wangapi wakikeSasa Dogo unajua kabisa bila pesa hata uwe na sura kama yusuph bado hujakamilika
Mwanamke muogope kama ukoma hasa kwenye maendeleo yako we chunguza ndugu yenu tu akipata demu/mke uone anavyoanza kusahau walio mkuza na hata kuanza kuperekeshwa
Kuna jitu litakaa na kusema oh mimi siperekeshwi na mapenzi, ila ukweli akikaaa mwenyewe anawazua tu mabinti na vimbwenga vyao
No mara waaa ukitaka uishi kwa kufanikiwa + stress za hapaa na pale za upweke na kutamani ISHI BILA MWANAMKE (unaweza vumilia tu kama mimi hapa)
Ila ukitaka uone ujinga wako na matatizo maumivu na kila janga Kuwa na mwanamke
Kama mwanamke sio mama yako, binti yako au dada yako (Huyo kamwe hawezi kukufaa kwa hali )
Ukweli mtoto wa kike ndie msaada wako, kuliko madume nane yaje yatekwe na mwanamke anasahau kwao
Unaeonekana comment yangu umeipita kama story ya madenge hapo si nimesema sina hata mwanamkeAhaha mkuu una watoto wangapi wakike
Ndefu sana ππUnaeonekana comment yangu umeipita kama story ya madenge hapo si nimesema sina hata mwanamke
πππ msameheMi mwenyew nacheka mpaka bas,,, maana huwa inastajabisha sana,, na jamaa wa ivo huwa wana pupa ile mbaya, yaan ni mwepes wa kufakamia yale maeneo yenye hitilaf kwa mwenzake bila kujua anasababisha kujaa kwa mate mdomoni maana ni marufuku kutema mbele ya binadam mwenzako
Guys we should.....Mwanaume mchafu mwenye sura ya SONGESHA hapaaanaa kwa kweli
Nshamsamehe maana namuogopa kwanza swez kumwelez hizo hadithi, namchukulia kama rafiki tu maana moyo umekataa katakata[emoji23][emoji23][emoji23] msamehe
Hahahahah dah bas nikubali mimiNshamsamehe maana namuogopa kwanza swez kumwelez hizo hadithi, namchukulia kama rafiki tu maana moyo umekataa katakata
Sasa hayo yametoka wap wakat umesema uwanja leo ni wetu!!si uniache nijiachie bila bughudha maana topic ikiwa inawalenga nyie sie huwa hatuongei tunapita zetu shwaaaHahahahah dah bas nikubali mimi
Hahahah haya mma jimwage mremboSasa hayo yametoka wap wakat umesema uwanja leo ni wetu!!si uniache nijiachie bila bughudha maana topic ikiwa inawalenga nyie sie huwa hatuongei tunapita zetu shwaaa
Ah wapi... wengi tu wanajijua achana na wale ambao ni ugonjwaAseey Mungu awaponye alafu huwa hawajijui kabisa daah