Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Ahahah bro upo poa

Mnatuonea sana vijana wa bongo
Sasa Dogo unajua kabisa bila pesa hata uwe na sura kama yusuph bado hujakamilika

Mwanamke muogope kama ukoma hasa kwenye maendeleo yako we chunguza ndugu yenu tu akipata demu/mke uone anavyoanza kusahau walio mkuza na hata kuanza kuperekeshwa

Kuna jitu litakaa na kusema oh mimi siperekeshwi na mapenzi, ila ukweli akikaaa mwenyewe anawazua tu mabinti na vimbwenga vyao

No mara waaa ukitaka uishi kwa kufanikiwa + stress za hapaa na pale za upweke na kutamani ISHI BILA MWANAMKE (unaweza vumilia tu kama mimi hapa)

Ila ukitaka uone ujinga wako na matatizo maumivu na kila janga Kuwa na mwanamke

Kama mwanamke sio mama yako, binti yako au dada yako (Huyo kamwe hawezi kukufaa kwa hali )

Ukweli mtoto wa kike ndie msaada wako, kuliko madume nane yaje yatekwe na mwanamke anasahau kwao
 
Ahhaha wewe dada unanimaliza ase [emoji23][emoji23][emoji23] af inaelekea mtam wewe mpaka unajali hayo
Mi mwenyew nacheka mpaka bas,,, maana huwa inastajabisha sana,, na jamaa wa ivo huwa wana pupa ile mbaya, yaan ni mwepes wa kufakamia yale maeneo yenye hitilaf kwa mwenzake bila kujua anasababisha kujaa kwa mate mdomoni maana ni marufuku kutema mbele ya binadam mwenzako
 
Sasa Dogo unajua kabisa bila pesa hata uwe na sura kama yusuph bado hujakamilika

Mwanamke muogope kama ukoma hasa kwenye maendeleo yako we chunguza ndugu yenu tu akipata demu/mke uone anavyoanza kusahau walio mkuza na hata kuanza kuperekeshwa

Kuna jitu litakaa na kusema oh mimi siperekeshwi na mapenzi, ila ukweli akikaaa mwenyewe anawazua tu mabinti na vimbwenga vyao

No mara waaa ukitaka uishi kwa kufanikiwa + stress za hapaa na pale za upweke na kutamani ISHI BILA MWANAMKE (unaweza vumilia tu kama mimi hapa)

Ila ukitaka uone ujinga wako na matatizo maumivu na kila janga Kuwa na mwanamke

Kama mwanamke sio mama yako, binti yako au dada yako (Huyo kamwe hawezi kukufaa kwa hali )

Ukweli mtoto wa kike ndie msaada wako, kuliko madume nane yaje yatekwe na mwanamke anasahau kwao
Ahaha mkuu una watoto wangapi wakike
 
Mi mwenyew nacheka mpaka bas,,, maana huwa inastajabisha sana,, na jamaa wa ivo huwa wana pupa ile mbaya, yaan ni mwepes wa kufakamia yale maeneo yenye hitilaf kwa mwenzake bila kujua anasababisha kujaa kwa mate mdomoni maana ni marufuku kutema mbele ya binadam mwenzako
😂😂😂 msamehe
 
Aseey Mungu awaponye alafu huwa hawajijui kabisa daah
Ah wapi... wengi tu wanajijua achana na wale ambao ni ugonjwa
Mtu hunyoi nywele za kwapa wala huko chini, boxer moja na soksi unavaa wiki nzima unategemea usinuke?
Mtu hupigi mswaki ipasavyo unategemea usinuke mdomo, umekula kachumbari hata kujiongeza kutafuna jojo kama huna mazingira ya kupiga mswaki muda huo.. kweli?

Uchafu ni tabia ngumu sana, watu wanachukulia poa lakini huyo mtu akifika level ya kuwa mumeo ndo utajua shughuli ilivyo nzito hawabadilikagi hao. Mara mia akawa "rough" lakini sio "dirty"
 
Back
Top Bottom