Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

😂😂😂😂 Ila Bongo, Samahanini wakuu mimi nimeutazama huu uzi kiutofauti kidogo na nimeona ni jinsi gani wabongo akili zetu zinawaza habari za mizagumuo sio wanawake sio wanaume.... Ni kwanini uzi hauelezi another aim ya couples kufanya meeting zaidi ya kusex?
Anzisha wewe wenye aim tofuati
 
Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha.

Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake.

Yaani zile sexdiser ambozo ulikuwa unazivuta picha kuwa atakuwa yupo hivi vile af unafika mnakuwa kwenye harakati af gafla mzuka wako unakata kabaisa.

Mfano hapa jf unakuwa na boy wako ila hamjawai onana siku mnaona ndio siku mlio panga kuzagamuana lakini ulivyo muona tu moto ukakata embu semeni leo tupo hapa wanaume tunawasikiliza.

Tuanze na amadala awakifwatiwa na

Depal
To yeye
miss eyes
Unique Flower
Cute Wife
wakimalizia na
Dream Queen

Wa mwisho atakuwa FaizaFoxy
Mimi nikikutana na mwanaume anayeongea ongea sana namuona kama tapeli hivi,then nikute kwake kuna kahurufu ka nguo chafu na lile jasho aisee nayaaga mashindano hapo hapo.
 
Back
Top Bottom