Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
ss wenye sura za VPN, mnatuweka wap!?😂😂😂😂 Au ya NIPIGE TAFU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ss wenye sura za VPN, mnatuweka wap!?😂😂😂😂 Au ya NIPIGE TAFU
Acha tu ni mwendo wa kupigwa matukio ata wanaume siku hizi wanawake mnatuchezea😄😄Hakuna shida mbona....kwani unakutana nao wanakuambia ukweli? ....kawaida sana mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Noma sana mkuu😀Ahaha
h ahahah
Anzisha wewe wenye aim tofuati😂😂😂😂 Ila Bongo, Samahanini wakuu mimi nimeutazama huu uzi kiutofauti kidogo na nimeona ni jinsi gani wabongo akili zetu zinawaza habari za mizagumuo sio wanawake sio wanaume.... Ni kwanini uzi hauelezi another aim ya couples kufanya meeting zaidi ya kusex?
Mimi nikikutana na mwanaume anayeongea ongea sana namuona kama tapeli hivi,then nikute kwake kuna kahurufu ka nguo chafu na lile jasho aisee nayaaga mashindano hapo hapo.Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha.
Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake.
Yaani zile sexdiser ambozo ulikuwa unazivuta picha kuwa atakuwa yupo hivi vile af unafika mnakuwa kwenye harakati af gafla mzuka wako unakata kabaisa.
Mfano hapa jf unakuwa na boy wako ila hamjawai onana siku mnaona ndio siku mlio panga kuzagamuana lakini ulivyo muona tu moto ukakata embu semeni leo tupo hapa wanaume tunawasikiliza.
Tuanze na amadala awakifwatiwa na
Depal
To yeye
miss eyes
Unique Flower
Cute Wife
wakimalizia na
Dream Queen
Wa mwisho atakuwa FaizaFoxy
Ole wako umchukue wanguKwa hizi nondo kuna bidada namfuata pm sasa hivi nshajiamini.😂😂😂
Hajaha unachukua nguo unafuanMimi nikikutana na mwanaume anayeongea ongea sana namuona kama tapeli hivi,then nikute kwake kuna kahurufu ka nguo chafu na lile jasho aisee nayaaga mashindano hapo hapo.
Hahaha mkuu huyu kama ni wako basi jf sitaki tena bidadaOle wako umchukue wangu
Ahahah yup mtagHahaha mkuu huyu kama ni wako basi jf sitaki tena bidada
Shortage of land😅we point yako si ile ile lack of capital😂
🤣🤣🤣🤣Tunawapotezea muda eti?🤣ðŸ¤Acha tu ni mwendo wa kupigwa matukio ata wanaume siku hizi wanawake mnatuchezea😄😄
Zipo zipo we tafuta humuhumuAnzisha wewe wenye aim tofuati
Yani kabla sijaanza kujipa majukumu angalau na wewe nikute ni msafi isije ikawa ndio tabia yako.Chumba kama stooHajaha unachukua nguo unafuan
Ahhahah sawa ngoja nianze mazoeziYani kabla sijaanza kujipa majukumu angalau na wewe nikute ni msafi isije ikawa ndio tabia yako.Chumba kama stoo
[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Ahhahah sawa ngoja nianze mazoezi
Wa mwili mzima, inakera sana.Uchafu upi uho
Utanikataa bado[emoji2297][emoji2297][emoji2297]