Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Korodani mnazionea tu kusema zinatoa harufu
Mnyama wa kiume lazima awe na harufu ya korodani hata kidogo.
Leo wanyama wana hasiwa ili kukata ile harufu.
Zisameheni korodaniπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈ
 
Ahhahah sasa ushampenda unabidi Umbadirishe unamuona konde wakat yupo na kajala alikuwa msafi now si unamuona kwahiyo mpenzi wako ni kiongoz mmoja mzuri sana
Binafsi siwezi... mama yangu mwenyewe kilichomvutia kwa baba yangu alikua smart sana mwili na mazingira.
Baba watoto wangu tu sio mchafu but he was rough ilikua ukienda kwake utakuta kafua hajakunja nguo vitu vimekaa bila mpangilio lakini huwezi kuta mambo ya uvundo au mara kajipikia menu vyombo vina wiki havijaoshwa, full mende na hapo wala sio wale vijana wa kunyonga tai na marashi ya kutosha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila Bongo, Samahanini wakuu mimi nimeutazama huu uzi kiutofauti kidogo na nimeona ni jinsi gani wabongo akili zetu zinawaza habari za mizagumuo sio wanawake sio wanaume.... Ni kwanini uzi hauelezi another aim ya couples kufanya meeting zaidi ya kusex?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…