Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Una hamu ya kutwangwa matusi wewe, kwa nini unanichukulia poa FaizaFoxy?
Binafsi siwezi... mama yangu mwenyewe kilichomvutia kwa baba yangu alikua smart sana mwili na mazingira.Ahhahah sasa ushampenda unabidi Umbadirishe unamuona konde wakat yupo na kajala alikuwa msafi now si unamuona kwahiyo mpenzi wako ni kiongoz mmoja mzuri sana
Mpaka ujue anaejua kucheza na mwili wako kitakachobaki ni manyoya tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mi asiyejua Kucheza na mwili wangu hapana kwa kweli
h ahahahMpaka ujue anaejua kucheza na mwili wako kitakachobaki ni manyoya tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna shida mbona....kwani unakutana nao wanakuambia ukweli? ....kawaida sana mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpaka ujue anaejua kucheza na mwili wako kitakachobaki ni manyoya tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ivi kuna watu bado wananukaga mdomo?😅😂Harufu ya Beberu na harufu ya mdomo
Uchafu upi uhoUchafu
Usiseme hivyo brooo 😂😂ivi kuna watu bado wananukaga mdomo?😅😂
Ni shida inaanzia tumboni sio kupiga mswakikunuka mdomo hakuhusiana na dawa ya mswaki ila namna unavyopiga huo mswaki
Tunaijua hyooivi kuna watu bado wananukaga mdomo?[emoji28][emoji23]
😅😂😂 inashangazaUsiseme hivyo brooo 😂😂
lack of government support😂😂😂we point yako si ile ile lack of capital😂
😂😂😂😂 baba mchungaji wapo km wale waumini wanaopenda kuombewa afu fungu la kumi hawataki kutoaSura ya songesha ndio ipi hii, hebu tupe mfano.
😂😂😂😂 Au ya NIPIGE TAFUSura ya songesha tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana ni ugonjwa uho😅😂😂 inashangaza
Aisee 😂😂😂😂😂 baba mchungaji wapo km wale waumini wanaopenda kuombewa afu fungu la kumi hawataki kutoa