Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Anzisha wewe wenye aim tofuati
 
Mimi nikikutana na mwanaume anayeongea ongea sana namuona kama tapeli hivi,then nikute kwake kuna kahurufu ka nguo chafu na lile jasho aisee nayaaga mashindano hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…