Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

Mada inasema "WANAWAKE LEO FUNGUKENI..."
Wewe ni ile jinsi tata?
Nahisi utakuwa na moja ya hizo traits nilizoandika hapo kupelekea kuhoji kwako.

Ilikuwa sikusoma heading vizuri na kuhusu kama uanaume wangu kuwa tata ningekwambia uje nikuonyeshe urijali wangu ila kwa vile una hayo niliyoyaandika ni dhahiri sitokuwa na stimu.
 
Pole kwa kuumizwa hisia
 
Back
Top Bottom