Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuambia ššš ndevu zina mchango gani kwenye mzagamuo acha ukichaa wewe dogomimi sio dem ila nimeskia kama huna ndevu wanamind sana aisee
ila nina sura ya songesha
Huo ni uhaini....š¤£Ukiwa na chunusi tu fogeriiiii
Am free.Usije kukamatwa wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwasababu wazee hatuna sura za nipigetaf...š¤£ila nyie,
sasa kwanini mnapenda sugar daddy vibabu
Am free.
Wanywa soda wanzinzi grade oneMnatuone walevi na wazinz ninyi wanywa soda mnakufa mapema kisa kisukari
ila nyie,
sasa kwanini mnapenda sugar daddy vibabu
Nahisi utakuwa na moja ya hizo traits nilizoandika hapo kupelekea kuhoji kwako.Mada inasema "WANAWAKE LEO FUNGUKENI..."
Wewe ni ile jinsi tata?
Nakutaka wewehahaa, we si ulisema hupendi wanaumeš
Pole kwa kuumizwa hisiaNahisi utakuwa na moja ya hizo traits nilizoandika hapo kupelekea kuhoji kwako.
Ilikuwa sikusoma heading vizuri na kuhusu kama uanaume wangu kuwa tata ningekwambia uje nikuonyeshe urijali wangu ila kwa vile una hayo niliyoyaandika ni dhahiri sitokuwa na stimu.
Nitakuwa nimeshaolewašnisubirie nimalize shuleš au vipi
Ngoja nimalize kula, nitapaliwaš.mapema hivyo?š basi nakua mchepukoš
Ndio najaribu,au una ushauri wowote so far?Wacha wee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ko umeshusha nyavu unatega
Yeah hii ni kweli.mimi sio dem ila nimeskia kama huna ndevu wanamind sana aisee
Ndio najaribu,au una ushauri wowote so far?
Af wanajikuta watakatifuWanywa soda wanzinzi grade one