Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Afadhali nimepona hiiMimi nikikutana na mwanaume anayeongea ongea sana namuona kama tapeli hivi,then nikute kwake kuna kahurufu ka nguo chafu na lile jasho aisee nayaaga mashindano hapo hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali nimepona hiiMimi nikikutana na mwanaume anayeongea ongea sana namuona kama tapeli hivi,then nikute kwake kuna kahurufu ka nguo chafu na lile jasho aisee nayaaga mashindano hapo hapo.
Afadhali nimepona na hiiHarufu ya Beberu na harufu ya mdomo
Mshukur Mungu wako,,,Afadhali nimepona na hii
Hapo yapo mawili umepona lipi? [emoji28]Afadhali nimepona hii
[emoji28][emoji28][emoji28]Mshukur Mungu wako,,,
Nakukataa maana kama unaanza mazoezi that means ndio tabia yako,nakukataa mchana kweupeeeUtanikataa bado
Play storess wenye sura za VPN, mnatuweka wap!?
Nenda umjibu mama huko anauliza swali lenye jibu kama hiloUzinzi na ulevi ndio chanzo cha umasikini Tanzania.
TawileMshukur Mungu wako,,,
Hapo hayo yote sina mkuu we fanya mazingira tuishi tuHapo yapo mawili umepona lipi? [emoji28]
Hyo ni salam auTawile
😂😂😂 hapana naongeza kunukia 😂Nakukataa maana kama unaanza mazoezi that means ndio tabia yako,nakukataa mchana kweupeee
Hiyo ni sawa na kusema "nimekupata". Me mtoto wa babuHyo ni salam au
Umemsahau Leejay49Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha.
Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake.
Yaani zile sexdiser ambozo ulikuwa unazivuta picha kuwa atakuwa yupo hivi vile af unafika mnakuwa kwenye harakati af gafla mzuka wako unakata kabaisa.
Mfano hapa jf unakuwa na boy wako ila hamjawai onana siku mnaona ndio siku mlio panga kuzagamuana lakini ulivyo muona tu moto ukakata embu semeni leo tupo hapa wanaume tunawasikiliza.
Tuanze na amadala awakifwatiwa na
Depal
To yeye
miss eyes
Unique Flower
Cute Wife
wakimalizia na
Dream Queen
Wa mwisho atakuwa FaizaFoxy
[emoji28][emoji28][emoji28]Hapo hayo yote sina mkuu we fanya mazingira tuishi tu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] hapana naongeza kunukia [emoji23]
🤸♀️🤸♀️DUDUKWE ndio nini?
Usku unaruka sarakasi..badala uvae dera utulie kwenye koch🤸♀️🤸♀️