Wanawake....let's be kind to men!!

Mkuu VIP mlifanikiwa kuweka mambo yenu sawa
 
snowhite ...kwanza nafurahi kukuona ona jukwaani siku hizi!😊

Nakubaliana na wewe! πŸ’―

Alafu kuna muda hata wakoseaji huwa wanafanya mambo yanakua so much worse. Unakuta mtu kakosea jambo ila adhabu anayopewa inazidi kosa kwa mara nyingi sana. Hamna chakukutana katikati, hamna chakusikilazana wala kuelewana...ni mwendo wa Ulinikosea, so you deserve whatever crap I throw at you tu mpaka mkoseaji nae anageuka mkosewaji.

I've been there...πŸ₯΄
Na sikuona how unfair I was being to him mpaka nilivyojiweka kwenye nafasi yake.πŸ™ˆ
 
Nimekuja kupasha maarifa kidogo.
pengine nikarudi Temeke,niwaambie acheni wehu nyie, hem chukueni gamba lenu!
Ukweli kabisa mimi kuna vitu give or take, naona kabisa nilikuwa kama na hasira sana vile!
Kama nilikaza sana yani!
We bana weeee fresh tu kwanza na ye alikaza ,sa hiz sasa tunaulizana ila ilikuwaje ?
Tunacheka basi kila mtu anaendelea na chaka lake!
Uzuri we are still friends, gives us a lot of kujicheka although we both ok not to go back tulikokuwa!
Kuna vitu are best, vikibaki vilivyo!
I for one , i love the woman i am becoming and happy for him anavozidi kujipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…